Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,322
Reaction score
2,694

Leo ni siku ya watu wanaogeuza mistari ya code kuwa teknolojia inayotumika kila siku. ❤️‍🔥

Kutoka kwenye Apps 📱, Websites 🌐, Games 🎮 hadi AI 🤖 nyuma ya kila teknolojia nyingi tunazozitumia kuna programmer aliyekaa chini na kuandika code.

Na cha kushangaza? 😮
256 si namba tu… ni siku inayohusishwa na Programmer’s Day, kutokana na umuhimu wa 256 kwenye ulimwengu wa computing. 💻⚡

Kwa programmers wote duniani—hongereni kwa kuifanya dunia iwe smarter, faster na more connected! 🌍🔥
👨‍💻 Code. Build. Innovate. Repeat.

Happy Programmer’s Day! 🥳💻 Kama sio Programmers huwezi kuelewa hii Namba 256 Ina maanisha nini ??

Usisahau ku mtag rafiki yako ambaye ni mtaalam wa Code 👋 nchini Tanzania 🇹🇿. bongotech2⁵5🎮🎧 || Teknolojia ni Yetu sote 🏃
#bongotech255
 
Leo ni siku ya watu wanaogeuza mistari ya code kuwa teknolojia inayotumika kila siku. ❤️‍🔥

Kutoka kwenye Apps 📱, Websites 🌐, Games 🎮 hadi AI 🤖 nyuma ya kila teknolojia nyingi tunazozitumia kuna programmer aliyekaa chini na kuandika code.

Na cha kushangaza? 😮
256 si namba tu… ni siku inayohusishwa na Programmer’s Day, kutokana na umuhimu wa 256 kwenye ulimwengu wa computing. 💻⚡

Kwa programmers wote duniani—hongereni kwa kuifanya dunia iwe smarter, faster na more connected! 🌍🔥
👨‍💻 Code. Build. Innovate. Repeat.

Happy Programmer’s Day! 🥳💻 Kama sio Programmers huwezi kuelewa hii Namba 256 Ina maanisha nini ??

Usisahau ku mtag rafiki yako ambaye ni mtaalam wa Code 👋 Tanzania 🇹🇿.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…