programmers

 1. Mkaruka

  Check my site. Category zimepinda

  Habari jamani Hapa kuna nini naona trending category zimekaa tenge badala ya kukaa kama ilivyo kwenye popular posts (Headings) pekee. SITE : AjiraAlerts | The Home of Smarter Job Seekers. A Trusted Gateway to Your Dream Career!
 2. Makanyaga

  Kwa wale ambao ni Programmers, naomba msaada wa kufupisha hii program kwenye DOS

  Msaada tutani: Kwa wale ambao ni Programmers, naomba msaada wa kufupisha hii program kwenye DOS Notes: 1.The abbreviation DOS_COMMAND stands for any DOS command like copy, mkdir, etc. 2.The sub-directories 2019001, 2019002, 2019003,...........,2019363, 2019364, 2019365 are in the same MAIN/...
 3. Dr Orb

  Muongozo wa software developer anaeanza part-3 (WEB BASED APPLICATION)

  Uzi huu unaletwa kwenu na Orb Tech LLC. Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-2 Sehemu hii tutazumgumzia Web based applications. Kama tulivyoainisha hapo awali hizi ni program zinazotumia internet katika kufanikisha jambo lililokusudiwa mfano Kupatana...
Top