programmers wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Programmer's Tanzania

    Leo ni siku ya watu wanaogeuza mistari ya code kuwa teknolojia inayotumika kila siku. ❤️‍🔥 Kutoka kwenye Apps 📱, Websites 🌐, Games 🎮 hadi AI 🤖 nyuma ya kila teknolojia nyingi tunazozitumia kuna programmer aliyekaa chini na kuandika code. Na cha kushangaza? 😮 256 si namba tu… ni siku...
  2. jikuTech

    JamiiForums Tanzania Information Technology(IT-TEHAMA)-06

    AINA ZA KOMPYUTA Aina za kompyuta zinaweza kuelezewa kwa namna mbili kulingana na ukubwa pamoja na uwezo wa kuchakata taarifa kama ifuatavyo Aina Za Kompyuta Kulingana Na Uchakataji Wa Data Analogue Kompyuta Digital Kompyuta Hybrid Kompyuta Analogue Kompyuta Hizi ni kompyuta ambazo utendaji...
  3. jikuTech

    JamiiForums Tanzania Information Technology(IT-TEHAMA)-05

    AINA ZA UJUZI WA KOMPYUTA Ujuzi wa kompyuta kwa upana unaweza kusemwa kwa namna mbili Moja ujuzi wa kimsingi Pili Ujuzi wa kitaalamu Ujuzi wa kimsingi: Ujuzi huu anahitaji mtu yoyote anaye taka kutumia Kompyuta kwa matumizi madogo madogo kama vile kutuma barua pepe, kutumia mitandao ya...
  4. jikuTech

    JamiiForums Tanzania JIFUNZE INFORMATION TECHNOLOGY-(IT-TEHAMA)

    Jiku Tech Tips inajivunia kuwa mshirika wako katika safari yako ya kujifunza na kukuza ujuzi wa teknolojia. Kama Full Stack Developer mwenye uzoefu na Mkufunzi mtaalamu, Jiku Tech Tips imejitolea kukupa mafunzo bora na yenye tija katika ngazi zote: Ngazi ya Awali: Tunaweka msingi imara kwa...
  5. jikuTech

    JamiiForums Tanzania LEVEL ZA TEHAMA

    Nimekuja na Hoja hii nahitaji msaada kwenye comment hapo, mimi nimeishia hapo, kama kuna mtu anaweza kuweka vizuri kwa ajili ya mtu ambaye ni mgeni kabisa kuelewa ni nini hasa namaanisha anisadie kuongeza,kurekebisha na namna yoyote nzuri ya kwake. Karibu: TEHAMA kirefu cha maneno Teknolojia ya...
  6. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Kwanini programmers wa Tanzania wakikosolewa wanakimbilia kusema budget ya client ndiyo chanzo?

    Nimeona thread's nyingi sana hapa JamiiForums kuhusu programmer's wa Tz wakikosolewa na kila mara jibu wanalolitoa ni kwamba wanalipwa pesa kidogo ndiyo maana wanafanya kazi mbovu. Kwangu mimi naona hilo ni jibu la kipuuzi kuliko lote kwa maana mbona fani nyingine wanalipwa pesa ndogo lakini...
Back
Top Bottom