Leo ni siku ya bahati kwako!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo ni siku ya bahati kwako!!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ndenga, Jul 25, 2011.

 1. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Wadau kama kuna kitu kinachonikera ni hii tabia iliyoanza ya baadhi ya mitandao ya simu kutulazimisha kusikiliza matangazo yao. Yaani kwa upande wangu naona kama imekuwa ikiniongezea stress na kupoteza muda bila sababu: we fikiria unampigia mtu simu muhimu na ya haraka unawekewa tangozo sijui.. Leo ni siku ya bahati kwako?,.....mambo kibao halafu mwisho unaambiwa namba unayopiga haipatikani. yaani inaboa coz unakuwa unasubiria muda unaenda like 2mins then wanakuambia namba haipatikani. this is too much for me. nashauri muanche. Tume ya kutetea walaji na TCRA mtusaidie. Sijahitaji kusikia sijui hamia wapi siju!!!...wala nini.. nataka kama namba haipatika niambiwe then tangazo ndio lifuatie kuliko kutanguliza tangazo then namba haipatikani..
   
Loading...