Tukilala Wote nani atailinda Tanzania?
Na kweli, ndiyo, Mawaziri wamepewa ruksa ya kusema hivyo wakipitisha/kuamuru sheria kandamizi, why not us?!🤐🤨Sasa kama humtaki si uhame tu Nchi au?
Hivi 'Mzena' ni 'Hospitali' ya Kimedani?Mzena?
Ukweli wako Wewe ni upi labda? Sema!!Acheni uongo
We jamaa natambua sisi kama binadamu tumetofautiana kimawazo lkn pia tuna uhuru wa kuzungumza sasa hoja yangu ni kwamba mwaka jana wakati tetesi za corona zikizagaa huku mtaani pamoja na mitandaoni yalizuka maneno na hofu kama hivi sasa kwa yanayoendelea lkn kwa ushupavu wa yule hayati aligundua hapa kuna kitu kama kiharufu cha biashara hivi au upigaji (HAKUNA CHA LOCKDOWN WALA BIBI YAKE NA LOCKDOWN)Haya yalikuwa ni sehemu ya maneno yake.Ukweli wako Wewe ni upi labda? Sema!!
Midume Mizima mnaigopa uviki-19. Wanaume tumebaki wachache sana!Na ndiyo Hospitali hiyo hiyo za chini ya Kapeti nimezinyaka kuwa Bi Mkubwa Kikatiba Kesho anaenda Kuzindua Jengo lililojengwa na Wajerumani na ikiwezekana hata Sindano yake ya UVIKO 19 anaweza 'akachomewa' hapo hapo japo Askofu Gwajima Yeye kaigomea.
Mungu atusaidie sana na hii UVIKO 19.