Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,763
- 16,246
Kiukweli hii vita kwa upande wa Israeli imekua ngumu sanaa tangu kuanza kwa ground invasion. Siku ya leo ni katika siku ngumu sanaa IDF wamepoteza wanajeshi zaidi ya 100 katika shambulio la ghafla wakijiandaa kufunga mizigo kurudi Nyumbani.
Al qassam brigade siku hii ya leo pia wameipiga Tel Aviv makombora zaidi ya 300 mengine yakidondoka kwenye makazi ya raia na mengine yakizuiliwa na Irone dome.
Kwa kifupi hii vita bado ipo sana na imechochewa na kitendo cha kiburi cha huyu Waziri mkuu Netanyahu.
Hezbollah nao wanaendelea kurusha missiles North front.
Benjamin Netanyahu kama anaipenda Israel aondoke madarakani haraka sana hali ni tete.
Hapa chini nakuwekea chanzo kutoka verified Mossad ili msilete kelele.