Leo ni siku ngumu sana kwa IDF huko Gaza. Wamekufa zaidi ya askari 100

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,614
15,942
Kiukweli hii vita kwa upande wa Israeli imekua ngumu sanaa tangu kuanza kwa ground invasion. Siku ya leo ni katika siku ngumu sanaa IDF wamepoteza wanajeshi zaidi ya 100 katika shambulio la ghafla wakijiandaa kufunga mizigo kurudi Nyumbani.

Al qassam brigade siku hii ya leo pia wameipiga Tel Aviv makombora zaidi ya 300 mengine yakidondoka kwenye makazi ya raia na mengine yakizuiliwa na Irone dome.

Kwa kifupi hii vita bado ipo sana na imechochewa na kitendo cha kiburi cha huyu Waziri mkuu Netanyahu.

Hezbollah nao wanaendelea kurusha missiles North front.

Benjamin Netanyahu kama anaipenda Israel aondoke madarakani haraka sana hali ni tete.

Hapa chini nakuwekea chanzo kutoka verified Mossad ili msilete kelele.

Screenshot_20240108_215426_X.jpg
 
Vita ngumu sana hadi viongozi wa Makamasi hawajulikani walipo wamejificha na kukimbilia nchi jirani tunaona viongozi wa IDF tu wanatembelea vikosi huko Gaza na kuendesha vikao Tel Aviv.
Kila siku Hamas wanatoa taarifa za maendeleo ya vita au wewe mwenzetu kipofu? Au ulitaka wakatolee hizo taarifa Tel aviv
 
Naona pande zote (wayahud na wapalestima wa bong) mma report kwa hisia zaid kuliko facts.

Hiv askari 100 kwel wakafe kwa siku unafikir ni jambo rahis namna hiyo? Yan wa kwanza mpaka wa 100, hapo field kuna war kamanda au kjna walevi?
Nimeweka source na askari wa IDF leo walikua wanaondoka kurudi israeli wakapigwa Ambush na Wanamgambo wa hamas. Mimi ni myahudi mweusi mkuu sina sababu ya kuripoti uongo natoa taarifa za facts. Israel imekua ikificha sana taarifa za askari wake anaowapoteza vitani.
 
Kuwa makini mkuu, wewe ya Gaza unawezaje kuyajua ukiwa bongoland muda huu.
 
Kiukweli hii vita kwa upande wa Israeli imekua ngumu sanaa tangu kuanza kwa ground invasion. Siku ya leo ni katika siku ngumu sanaa IDF wamepoteza wanajeshi zaidi ya 100 katika shambulio la ghafla wakijiandaa kufunga mizigo kurudi Nyumbani.

Al qassam brigade siku hii ya leo pia wameipiga Tel Aviv makombora zaidi ya 300 mengine yakidondoka kwenye makazi ya raia na mengine yakizuiliwa na Irone dome.

Kwa kifupi hii vita bado ipo sana na imechochewa na kitendo cha kiburi cha huyu Waziri mkuu Netanyahu.

Hezbollah nao wanaendelea kurusha missiles North front.

Benjamin Netanyahu kama anaipenda Israel aondoke madarakani haraka sana hali ni tete.

Hapa chini nakuwekea chanzo kutoka verified Mossad ili msilete kelele.

View attachment 2865735
Niliwahi kiandika kuwa hii vita wayahudi wameshindwa kabla hawajaianza:

Nilikuwa na sababu nzuri sana ya kuandika hivyo na nilikuwa sikukisia.
 
Nimeweka source na askari wa IDF leo walikua wanaondoka kurudi israeli wakapigwa Ambush na Wanamgambo wa hamas. Mimi ni myahudi mweusi mkuu sina sababu ya kuripoti uongo natoa taarifa za facts. Israel imekua ikificha sana taarifa za askari wake anaowapoteza vitani.
Wewe ni muongo nishawambia waislam nyie mnachokijua ni uongo tu, source ulioweka hapo iko wapi?? Hatuoni hao maiti mia moja unaosema, wacha muipate dawa yenu aise
 
Kiukweli hii vita kwa upande wa Israeli imekua ngumu sanaa tangu kuanza kwa ground invasion. Siku ya leo ni katika siku ngumu sanaa IDF wamepoteza wanajeshi zaidi ya 100 katika shambulio la ghafla wakijiandaa kufunga mizigo kurudi Nyumbani.

Al qassam brigade siku hii ya leo pia wameipiga Tel Aviv makombora zaidi ya 300 mengine yakidondoka kwenye makazi ya raia na mengine yakizuiliwa na Irone dome.

Kwa kifupi hii vita bado ipo sana na imechochewa na kitendo cha kiburi cha huyu Waziri mkuu Netanyahu.

Hezbollah nao wanaendelea kurusha missiles North front.

Benjamin Netanyahu kama anaipenda Israel aondoke madarakani haraka sana hali ni tete.

Hapa chini nakuwekea chanzo kutoka verified Mossad ili msilete kelele.

View attachment 2865735
Vita ngumu ndo maana itaendelea mwaka huu na zaidi ya mwaka huu na ndo maana mazayuni wanaua makamanda ya magaidi kama jana tu hapo mmoja kapasuliwa mchanga na kazi inaendelea....
 
Netanyahu bhana yaani anaamua kuua askari wake kwa kuwasikiliza USA...wao wangetulia harafu wakaongeza ulinzi na kupiga ambushi mbili tatu wakatulia hii aliyoifanya huko ukanda wa Gaza swala la Amani tuisikie tuu..
 
Back
Top Bottom