Leo ni: HESHIMA JUU kwa WANAWAKE!

........Mama kweli anastahili sifa, mie mwenyewe nampenda mama yangu kuliko. Kuwa mama raha jamani, utapendwa na watoto wako daima. Natamani kuwa mama, hebu ngoja nijitahidi nipate mtoto niitwe mama.
Hongereni wanawake wenzangu wa JF mliokuwa tayari mama.
xoxoxo

I love my mom (R.I.O sweet mama) and I will love her forever and ever.

that strength of a woman ya shaggy iwafikia wamama na wadada woooooote!!!
 
Chrispin kama kungekuwa na namna ya kugonga thanx mara nyingi leo nisingeongea ni thanx tu............mpwa kumbe ukitulia unamwaga vyoint eh? Aksante sana

Ana heri mwanamke uliyemuoa
Ana heri dada yako
Ana heri mama yako
Tuna heri wanawake woooote tuliobarikiwa kuwa karibu yako (hata ki -electronika)
hapa ndo tunajifunza kwamba kumbe samtaimu jasiri anaacha asili.
 
nimesoma kwa shida sana kuanzia form one,
miaka ile ada ikiwa ni laki tatu kwa mwaka ni kubwa sana.....

lakini MAMA alihakikisha anakopa hela ili mradi niende shule

AHSANTE SANA MAMA!

WANAWAKE HOYEEEE

You are who you today are because of her

I am who I am today because of my mother!!!!

thanks to all mothers jamani!!!!! (wakati mwingine u cant find even the right word to express ur feeling and u end up shadding tears)......
 
Leo hakuna ofu topic, atakayeteleza anakula ban! Hahaha! Umekula senksi zangu nyingi sana leo!
hahaaa, SENKSI zako adimu sana:, ila hapa naona sio uongo:
The Following 20 Users Say Thank You to Chrispin For This Useful Post: Remove Your Thanks bht (Today), Bujibuji (Today), carmel (Today), FirstLady1 (Today), Geoff (Today), George_Porjie (Today), JS (Today), klorokwini (Today), Lily Flower (Today), MjasiriamaliShupavu (Today), MwanajamiiOne (Today), Ngongo (Today), Nguli (Today), Preta (Today), Pretty (Today), Prodigal Son (Today), Shishi (Today), SMU (Today), Soulbrother (Today), Sumbalawinyo (Today)
 
You are who you today are because of her

I am who I am today because of my mother!!!!

thanks to all mothers jamani!!!!! (wakati mwingine u cant find even the right word to express ur feeling and u end up shadding tears)......
yaaaaa!
bht nimekukubali
tupo kwenye ze same path

infact asingekuwa MSHIKI ningeleta proposal ya ndoa hapo kwenu!...
 
........Mama kweli anastahili sifa, mie mwenyewe nampenda mama yangu kuliko. Kuwa mama raha jamani, utapendwa na watoto wako daima. Natamani kuwa mama, hebu ngoja nijitahidi nipate mtoto niitwe mama.
Hongereni wanawake wenzangu wa JF mliokuwa tayari mama.
xoxoxo

thanks Pretty mie nina ka baby ka kike kila siku natamani nikataje sehemu yoyote ninapokuwa ...jinsi ninavyofeel kuwa nako na kukatunza
harafu nikwambie nilipokuwa kadadaaa kama wewe yaani hizi catalogue hazikatizi mbele yangu lakini sasa kila nionancho kiwe kizuri vip naanza kuwaza kwanza mtoto wangu si mimi tena
Mwacheni mama aitwe mama ...
hata kwa wale ambao hawajabahatika kupata watoto mungu awajaalie heri
 
yaaaaa!
bht nimekukubali
tupo kwenye ze same path

infact asingekuwa MSHIKI ningeleta proposal ya ndoa hapo kwenu!...

tusubiri Pope anaweza kufanya amendment ya sheria za ndoa.....(sitajali kuwa wapili)
 
DUh!! leo sijui kaamkia upande upi??? mmmmm haya we!! lakini pia ujue kwa sababu ya hayo yoote uliyoyataja ya kusamehe and kuvumilia...iko siku ufika ikatosha!!! and when we get fed up...u dont want to be anywehre near
He better remember the song br R.Kelly, "when a woman is fed up"
Pamoja na haya masifa yoote, hii ni dedication to all men, to remind you not to mess with us women.
 
tusubiri Pope anaweza kufanya amendment ya sheria za ndoa.....(sitajali kuwa wapili)

mwaaaah! (sioni kabatan ka makiss) ....hapo kwa Pope..sijui kama itakuja anytime soon....lakini vyote vyawezekana..ikishindikana tutarasimisha tu hapo kwen red
 
Umesahau kitu kimoja kuna wale wanao piga tungi mpaka anajikojolea na kujinyea lakini mwanamke yupo responsible kumtawaza na kufua nguo zake na mapenzi yapo pale pale kwa hili sijui wanawake waliopo JF hapa wanaweza kulifanya.
 
mwaaaah! (sioni kabatan ka makiss) ....hapo kwa Pope..sijui kama itakuja anytime soon....lakini vyote vyawezekana..ikishindikana tutarasimisha tu hapo kwen red
halafu wewe siku hizi umekuwa mvivu sana kuchangia mada,WE UNAZISOMA TU
 
thanks Pretty mie nina ka baby ka kike kila siku natamani nikataje sehemu yoyote ninapokuwa ...jinsi ninavyofeel kuwa nako na kukatunza
harafu nikwambie nilipokuwa kadadaaa kama wewe yaani hizi catalogue hazikatizi mbele yangu lakini sasa kila nionancho kiwe kizuri vip naanza kuwaza kwanza mtoto wangu si mimi tena
Mwacheni mama aitwe mama ...
hata kwa wale ambao hawajabahatika kupata watoto mungu awajaalie heri
True kabisa, we always give first priority to kids, yani hata kama umelala usiku ukasikia tu kilio kidogo cha mtoto unajump kama umeumwa na nyuki, that is motherly love, nothing to compare to it. I am very proud to be a mother, to nurture a human being is such a valuable feeling.
 
haaa nahc wamama wote ndio tupo hivyo, mwehh! huwa namshukuru Mungu sana kwa kunijalia watoto wawili wazuri.....wao ni kila kitu kwenye maisha yangu....yaani cna maelezo ya furaha yangu.....atakuwa mkwe wangu kwa ma baby boy.
 
True kabisa, we always give first priority to kids, yani hata kama umelala usiku ukasikia tu kilio kidogo cha mtoto unajump kama umeumwa na nyuki, that is motherly love, nothing to compare to it. I am very proud to be a mother, to nurture a human being is such a valuable feeling.

Kwa kuwa mwanamke huwa anabeba mimba miezi tisa, kisha anamzaa mtoto na kumnyonyesha, biologically, mtoto anakuwa-attached zaidi kwa mama kuliko kwa baba! Na ndio maana kwenye mila zetu za Kiafrika mtoto huwa anapewa ubini (surname) ya baba! Hii inafanyika ili baba naye ajisikie kuwa sehemu ya yule mtoto!
 
hehehehe!
hapo mimi ndipo ninapowakubaligi WANAWAKE!
AHSANTENI SANA WANAWAKE

moyo wa mwanamke ni laini

mwaaaah! (sioni kabatan ka makiss) ....hapo kwa Pope..sijui kama itakuja anytime soon....lakini vyote vyawezekana..ikishindikana tutarasimisha tu hapo kwen red

utashangaa tunasubiria kama wale rafiki ambao bado wanamsubiri masiha......
 
halafu wewe siku hizi umekuwa mvivu sana kuchangia mada,WE UNAZISOMA TU

Kama kawaida huwa sina maneno mengi! "Kidogo tu"....

Behind any successful MAN, there is a WOMAN and vice versa. That summerizes it all
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom