Leo ni: HESHIMA JUU kwa WANAWAKE!

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,352
Kuna tukio nililiona jana:
Acheni niwape heshima iliyotukuka wanawake woote;
IMAGINE:

ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau!!!

UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!

UNARUDI USIKU WA MANANE UKIWA MTUNGI: Anakukaribisha, anakuandalia chakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko.

UNAAMKA ASUBUHI NA MAHANGOVER: Anakuandalia staftahi (saa nyingine unagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa Supu na kuzimua. Wala halalamiki!

CHAKULA CHA USIKU: Ushapiga mtungi wako, mtarimbo umesimama, unataka huduma. Unamrukia, hamna maandalizi unamuumiza (Wengine wana mamitarimbo ya kufa mtu, sasa imagine hujamuandaa: LOL) Anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tena inaweza tokea hii; hana kinyongo!

UNAJIANDAA KWENDA KIBARUANI: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwale imenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguo ulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi jana kashasahau na kukusamehe!

UNAMPA UJAUZITO: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtoto anakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumia mtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwingine na mwingine tena!

Na mengine meeeeengi sana wanafanyiwa hawa watu lakini WANASAMEHE, WANAVUMILIA! Ni watu muhimu sana hawa watu maishani mwangu!

HIVI INGEKEWA WANAUME TUNAFANYIWA HIVI INGEKUWAJE?

Kwa leo acheni tu niwape heshima zao wanawake wote:

I SALUTE AND LOVE THEM WOMEN!

(NB: Leo niko kimaadili zaidi!)
 
......Afanye vyote lakini hilo la kumfumania live na mwanamke mwingine noooooooo!!! Dunia yenyewe ya leo magonjwa nje nje ni big nooooooooo!!!!
 
sasa leo upitie chawote mshiki akuandalie MCHEMSHO WA KUKU WA KIENYEJI!nimeshaiprint hii nimemfaksia amekubali mapigo.....
 
......Afanye vyote lakini hilo la kumfumania live na mwanamke mwingine noooooooo!!! Dunia yenyewe ya leo magonjwa nje nje ni big nooooooooo!!!!

Jana mwenzio kafumania akasamehe! Ndio chanzo cha hii thread!
 
Mi nina wasi wasi na kitu kimoja tu..hii kitu kweli imetoka kwa mtu wa valuer na serengeti? nabii atatoka kweli nazareti? si tunamfahamu huyu? mchumbawe si huyu nani hii hapa na wapwa zake si ndio kina Fidel80 Geof, PJ, na mabinamu kina bht, naniliu (sijui ako wapi), kina Aninna, Shishi, MJ1, na wengineo?

HUYU AMEPATA WAPI HEKIMA HII?
 
leo hatutahitaji OFF-TOPIC!TAFADHALINI SANA

Kwa kweli leo nimekaa kimaadili zaidi! Jana kuna jamaa kafumaniwa live na mkewe! Sijawahi kuona mwanamke analia vile! Makamanda tulikaa naye kwa masaa mawili, wanandoa wakashikana mikono! Leo nampigia simu jamaa kumuuliza kilichoendelea night akanambia AMEMRUSHIA MAJI MAZITO KAMA KAWA! LOL!
 
Mi nina wasi wasi na kitu kimoja tu..hii kitu kweli imetoka kwa mtu wa valuer na serengeti? nabii atatoka kweli nazareti? si tunamfahamu huyu? mchumbawe si huyu nani hii hapa na wapwa zake si ndio kina Fidel80 Geof, PJ, na mabinamu kina bht, naniliu (sijui ako wapi), kina Aninna, Shishi, MJ1, na wengineo?

HUYU AMEPATA WAPI HEKIMA HII?

si unajua hata yule nanihii alikuwaga malaika
 
twende mbele na kurudi nyuma hata kama tutachelewa WANAWAKE NI MAMA ZETU!

PAMOJA NA MATATIZO MENGI AMBAYO TUNAYAONA LAKINI WANAWAKE WANASTAHILI HESHIMA YA PEKEE!

hongereni sana wanawake
 
Mi nina wasi wasi na kitu kimoja tu..hii kitu kweli imetoka kwa mtu wa valuer na serengeti? nabii atatoka kweli nazareti? si tunamfahamu huyu? mchumbawe si huyu nani hii hapa na wapwa zake si ndio kina Fidel80 Geof, PJ, na mabinamu kina bht, naniliu (sijui ako wapi), kina Aninna, Shishi, MJ1, na wengineo?

HUYU AMEPATA WAPI HEKIMA HII?

Hahaha! Nilijua tu, nabii hakubaliwi nyumbani. Lakini habari ndiyo hii: Leo niko kimaadili zaidi!
 
Mi nina wasi wasi na kitu kimoja tu..hii kitu kweli imetoka kwa mtu wa valuer na serengeti? nabii atatoka kweli nazareti? si tunamfahamu huyu? mchumbawe si huyu nani hii hapa na wapwa zake si ndio kina Fidel80 Geof, PJ, na mabinamu kina bht, naniliu (sijui ako wapi), kina Aninna, Shishi, MJ1, na wengineo?

HUYU AMEPATA WAPI HEKIMA HII?
hehehehehe!
hata yesu walimjaji hivyo hivyo...

MWISHO WA SIKU ALIKUFA KWA AJILI YAO TU
 
twende mbele na kurudi nyuma hata kama tutachelewa WANAWAKE NI MAMA ZETU!

PAMOJA NA MATATIZO MENGI AMBAYO TUNAYAONA LAKINI WANAWAKE WANASTAHILI HESHIMA YA PEKEE!

hongereni sana wanawake

Leo utakula SENKSI mpaka ukamate namba tano kule kwenye rank!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom