Leo ni fursa kwa kwenda mbele

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
948
1,092
"Kijana shtuka lalamika huku unapambana ndio msemo wetu".

Fursa za kufanya mtaji chini ya Tsh.10,000 ndani ya wiki unafanya maisha.

Karibu

1. Biashara ya mboga za kijani mfano halisi ni mchicha.
Mahitaji
a) Udongo - Mtaji free
b) Samadi - Mtaji free
c) Mbegu - Mtaji ni Tsh.1,500 robo tu inatosha kuanzia.
d) Gunia au Kiloba au Safret (12) - Tsh.3,000.
e) Maji - Tsh.100 @ 7days = Tsh.700
f) Ndoo ndogo 1 - Tsh.2,000
g) Kimwagilizio - Tatafuta chupa kubwa ya maji mtaani itoboe kwa chini kwa misumali. - Mtaji free

Mtaji mradi ni Tsh. 7,200 + mengineyo Tsh.2,800.

Jumla kuu Tsh.10,000

Wazo hili chukua ukiona linakufaa maana linafanya kazi popote aidha kijijini au mjini (hata ukiwa nyumba za kupanga inakuwa kama maua)

Mauzo
Hapa ni juu yako mkulima ila utaweza kuvuna zaidi ya mara 5 mpaka 10 ndani ya siku 7.

Bye.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…