Leo ni Boyfriend Day

Leo ni Boyfriend Day

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,875
Siku ya ‘Boyfriend Day’ huadhimishwa kila Oktoba 03 ya kila mwaka. Ni siku inayotumiwa na watu kuonesha upendo na shukrani kwa wapenzi wao wa kiume.

Usiniulize gfriend day bado naitafyta kwenye kalenda ya 🇨🇺 na 🇷🇺
 
Huyu sijui ni mtu mzima au ni kijana?...uandishi wake una errors nyingi sana...
 
Back
Top Bottom