Leo ngono itapigwa sana hapa Dodoma

Halafu Eti mtu anafanya ngono kisha akija kuugua Maradhi analia na kuwasumbua wanaouguza!

Starehe zako uje kuwasumbua wengine


Adui amepofusha fahamu zao , inasikitisha sana!
 
Halahala majuto ni mjukuu!

Kwa wale ambao bado hawajapata maambukizi!

Wale ambao wanao nazani hawana cha kupoteza ijapokuwa kitaalamu inashauriwa kuepuka maambukizi mapya!
 
Niko hapa JK Hall, nashuhudia kila mtu akishika mkono aliye wake na kuondoka naye.

Leo guest house zitawaka moto! Kuna jamaa mmoja toka Katavi kaniwahi kwa mjumbe mmoja toka Mbeya. Nilikuwa nimemuweka rada tangu jana, tumetoka tu ukumbini jamaa anae, nikawa mpole.
sisiem wamemaliza malaya wote uhindini,
ngoja tuendelee kunywa bia tu cape town
 
Halafu kesho tusikie Sasa mtu kavamiwa saa saba za usiku Sijui kavunjwa mguu.
 
Back
Top Bottom