Leo ndiyo najua kumbe kitendo cha kukamilisha mahari ndiyo umeshafunga ndoa ya kimila, mwaka huu navuta jiko

Uko sahihi na wanaposema ndoa ni kitendo cha kufungishwa ndoa na padri au mchungaji. Na hili jambo halipo katika biblia ila ni utamaduni wa wazungu.

Anayebisha aje hapa atoe kufungua cha biblia kinachoonyesha viongozi wa makanisa wanapaswa kufungisha ndoa.
Kweli kabisa hata kwenye biblia walioa kimila.
 
Uko sahihi na wanaposema ndoa ni kitendo cha kufungishwa ndoa na padri au mchungaji. Na hili jambo halipo katika biblia ila ni utamaduni wa wazungu.

Anayebisha aje hapa atoe kufungua cha biblia kinachoonyesha viongozi wa makanisa wanapaswa kufungisha ndoa.
Nimestuka mapema, sijutii kulikwepa kanisa kwenye ndoa.

Makubaliano ya mimi na binti pamoja na ruhusa ya familia zetu na ndugu zetu wa karibu pamoja na mwanaume kutoa mahari yanatosha kuwa ndoa, hao viongozi wa makanisa ni kama wanataka ku controll vitu ambavyo haviwahusu.
 
Hivi kwa nini iwe kidini au kiserikali au kimila, kwa nini wanawake na wao wasiweke sahihi katika uchaguzi kua na yeye anaweza kuongeza wanaume huko mbele ya safari?

Najua wanaume wengi tutapinga. Sasa kwa nini sisi inaonekana kawaida tukichagua au kuongeza mke wa pili, ila si kwa wanawake?
pitisha hiyo sheria uone kama vita ya tatu haijatokea. Wanawake pamoja nakufanya kazi asilimia kubwa bado mwanaume anahudumia hivyo unataka ahudumiwe na wanaume zaidi ya 1 tena kisheria, thubutu yake. Hata hivyo mbona wanaongeza ila sikisheria, wanamichepuko mingi tu. Unajua kwanini sheria nyingi zimetengenezwa kumlinda mwanamke katika jamii???? Ukipata jibu utapata na jibu lingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa nini iwe kidini au kiserikali au kimila, kwa nini wanawake na wao wasiweke sahihi katika uchaguzi kua na yeye anaweza kuongeza wanaume huko mbele ya safari?

Najua wanaume wengi tutapinga. Sasa kwa nini sisi inaonekana kawaida tukichagua au kuongeza mke wa pili, ila si kwa wanawake?
hapo mkuu umeshakunywa chai umeshiba unatiririka tu na uzi
 
Hivi kwa nini iwe kidini au kiserikali au kimila, kwa nini wanawake na wao wasiweke sahihi katika uchaguzi kua na yeye anaweza kuongeza wanaume huko mbele ya safari?

Najua wanaume wengi tutapinga. Sasa kwa nini sisi inaonekana kawaida tukichagua au kuongeza mke wa pili, ila si kwa wanawake?
Je hao wanawake wamelipa mahari kwa wazazi wa mme? Uliza swali lenye mantik basi.

Pia utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani ni uhuni tu, kanisa limepoka mamlaka ya wazazi. Ni wazazi wa pande mbili pekee wanaoamua aidha kuwe na ndoa ama laaa, koz wazazi wa upande mmoja wakikataa hata huko kanisani wachungaji hawawezi kulazimisha hio ndoa coz wazazi ndio wanaachia baraka kwa wanandoa na sio mchungaji au padre.

Ndio maana unaona leo hii ndoa nyingi zilizofungiwa makanisani zina changamoto sana, coz wanandia sometimes walilazimisha na hawakutaka kuwasikiliza wazazi then ngoma inaback fire

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwa nini iwe kidini au kiserikali au kimila, kwa nini wanawake na wao wasiweke sahihi katika uchaguzi kua na yeye anaweza kuongeza wanaume huko mbele ya safari?

Najua wanaume wengi tutapinga. Sasa kwa nini sisi inaonekana kawaida tukichagua au kuongeza mke wa pili, ila si kwa wanawake?
Hakuna mwanamke aliyezuiliwa kutafuta mume, kumtolea mahari, then apange namna ya maisha anayoyataka mwenyewe kwenye ndoa yake!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimestuka mapema, sijutii kulikwepa kanisa kwenye ndoa.

Makubaliano ya mimi na binti pamoja na ruhusa ya familia zetu na ndugu zetu wa karibu pamoja na mwanaume kutoa mahari yanatosha kuwa ndoa, hao viongozi wa makanisa ni kama wanataka ku controll vitu ambavyo haviwahusu.
kikubwa chukua gamba
 
Back
Top Bottom