Leo ndio nimeamini kweli Tanzania ni masikini

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,182
1,490
UMASIKINI WAKO NI NINI?

(Niliwahi kuandika October,06.2016)

-UMASIKINI unanzia kupuuza unapoambiwa UKWELI na kuhisi anaekwambia sio saizi yako,lakini

-UMASIKINI mkubwa ni Kukubali wewe ni masikini,lakini

-UMASIKINI mkubwa zaidi ni Kujilinganisha na aliyekuzidi UMASIKINI,lakini

-UMASIKINI mbaya ni kumchukia Aliyekuzidi Akili au Mali au Elimu(ayeweza zaidi yako),lakini

-UMASIKINI mbaya zaidi ni kukataa kujifunza kwa Aliyekuzidi na kukataa kwenda na wakati,lakini

-UMASIKINI kiwango cha Changalawe ni Kupanga juu ya kesho(future)za wengine bila kujua kuna Mungu ambaye kimsingi amepanga juu ya wote hapa Duniani(wewe na mimi),lakini

-UMASIKINI wa kiwango cha Lami ni Kuhisi Unaonewa kwa Jambo lisilo haki yako na kuhisi unakubalika bila kipimo rasmi(kununua watu),lakini

-UMASIKINI kiwango cha fly-overs ni Kujisingizia Utajiri,Ukuu(kununua heshima)wakati hauheshimiki wala haufikiliwi na watu kiwango hicho!

Huo ni UMASIKINI hata kama una mahela kibao kwenye benki

PAMBANA NA HALI YAKO...........USITAFUTE KUONEWA HURUMA....PIA KUBALI KUAMBIWA UKWELI MAANA UKWELI NI DAWA....

By:- Mathias Raymond Nyakapala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliwahi kuiandika sehemu gani mkuu??
 
MKUU,

ACHA UJINGA!!!

PAMBANA NA HALI YAKO!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom