Leo nawapa ukweli wote

Ndo akili za members wa kigenge cha Samuya hizi. No wonder samuya awamu yake katengeneza mindset za kipumbavu sana.
 
Kwamba nchi muachiwe wewe na Samia mjilie kiulaini? Nchi sio Mali yenu. Wacha watu waipambanie.
 
Narudia tena, hapa Tanzania kijana jitahidi kupambania familia yako (wewe mwenyewe, mke/mume na watoto) basi. Mengine achana nayo maana hutayaweza.

Sifa ya maenedeleo ya jamii ni kuanza kwa kuendelea binafsi, kisha nguvu hiyo kuipeleka kwenye jamii...

Jamii haitaweza kuendelea kama watu wake wakiwa wabinafsi...
 
Mkuu' umekumbwa na nini? Vipi uzalendo nao hautakiwi?
 
Hii Nchi siyo ya mama Ako K*ma wewe Kila mwananchi anayohaki ya kuilinda Nchi dhidi ya majangili wenzako
 
Siasa za bongo zimeharibu akili za vijana. Sifa kuu za viongozi wa taifa hili ni uchawa, kujipendekeza, tamaa, rushwa, ubinafsi... Unategemea Nini?
 
Nalia kwa uchunguu wuiiiii ze dogi German Shepherd katuacha yupo na kipenzi chetu cha dhati huko Firdaus wuiiiii😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Dah yule kwa wema wake wa kuwafukuza wajinga wote wadandia msosi kwangu nadhani Janatul firdaus imuhusu tu hana baya kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…