Leo nasheherekea siku yangu ya kuzaliwa

el nino

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
4,712
5,051
Leo nasheherekea siku yangu ya kuzaliwa na kutimiza miaka kadhaa..


Namshukuru Mungu kwa mengi... pongezi sana kwa mwingine aliyezaliwa siku kama ya leo na Taurus wenzangu wote..

Nifah karibu ule udambwi udambwi kwa niaba ya wana JF...


8c55e73aed74f08d487f507e3da681f8.jpg
 
Happy birthday mtoto mzuri,Mungu akuzidishie busara na furaha visikauke maishani mwako.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom