miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,976
Sawa tu mkuu . ila unahela zilizopo kwenye mzunguko?Miss chaga unaonaje na sisi tutangaze ndoa humu?
Sawa tu mkuu . ila unahela zilizopo kwenye mzunguko?Miss chaga unaonaje na sisi tutangaze ndoa humu?
Basi haina shida we tangaza tuNyingi sana tu, labda natakiwa na sh ngap?
Tutangaze woteBasi haina shida we tangaza tu
Yes , yes no problem... Thanks...Hilo usitie shaka my dear... Kaa mkao tu
Tunashukuru ila nakuhusia huko uendako uache uchakubimbi na unafiki usipozingatia haya hautadumu katika ndoa yakoHabarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.
Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.
Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Ukikuta yaliyomo hayamo nitafute nikupe msaadaLeo ndo uhakiki utafanyika
Hahaha kwani harusi ya Emoj tayari? Wewe jiandae tu kunimiss, ntakuwa busy na hubbyLast time nimemuaga Emoj sijamuona tena hadi leo..Ndoa zinaficha watu teh..Douta nimeghairi kukutafutia mchumba
Teh teh..Nahisi itakuwa tayari..Kama umezoea kusikia mawifi ndo wana ghubu basi tegemea kuona ghubu la daddy..Hadi honeymoon anaweza kung'ang'ania kwendaHahaha kwani harusi ya Emoj tayari? Wewe jiandae tu kunimiss, ntakuwa busy na hubby
Hahaha ushindwe daddy, usije niharibia ndoa mie. Nashangaa unaleta ubaba kumbena na wakati ulikuwa unanitimua homeTeh teh..Nahisi itakuwa tayari..Kama umezoea kusikia mawifi ndo wana ghubu basi tegemea kuona ghubu la daddy..Hadi honeymoon anaweza kung'ang'ania kwenda
teh teh..Baba kumbena haswaaa..Nimeghairi..Nimeona kumbe mkiolewa mnapunguza kujamiiana..Daddy atabaki mpwekeHahaha ushindwe daddy, usije niharibia ndoa mie. Nashangaa unaleta ubaba kumbena na wakati ulikuwa unanitimua home
Mmh mkeo si yupo, niletee shera langu bana aiiiteh teh..Baba kumbena haswaaa..Nimeghairi..Nimeona kumbe mkiolewa mnapunguza kujamiiana..Daddy atabaki mpweke