Leo naolewa

Leo naolewa

Mnaongoza kwa kukandia watafutaji. Utaskia eenh mme hapatikani kwenye mitandao. Mara ooh mtaani kwako umekosa mke? Sasa mnatafuta nini hapa wakati hapawahusu?
Watu wanapaswa kuelewa mwenza anapatikana popote.

Jf kwenyewe kumejaa watu kibao waelewa na wastaarabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom