Leo naolewa

moniccca

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
2,383
3,285
Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.

Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.

Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
 
Hongera sana. Vipi ulishahakikisha huuziwi mbuzi kwenye gunia? Did you DO with him?
 
Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.

Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.

Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Andika vizuri basi nataka nishuhudie(Mbezi au ni Wapi)
 
Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.

Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.

Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.

Hongera sana bibie.... lazima nitimbe maeneo hayo leo.

Vipi mtu wetu atakuwepo?? "mfumaniwa"
 
Hahahhaa...ndo kashaamua hivyo. Unataka umbadilishe mawazo
Hapana. Nauliza tu kutoka na uzi wake aliowahi kuuweka hapa akilalamika kuwa jamaa hataki wa-do kabla ya ndoa, jambo lililomsumbua na kuhisi labda jamaa sio riziki.
 
duu watu mna maamuzi,hivi na dunia hii unaazaje kujifunga kwa mtu mmoja??..umeyataka mwenyew sio baada ya wik unakuja hapa kujaza serva kwa malalamishi yenu,watu mlioko kwenye ndoa mnamatizo sana utasema mnalazimishwaga.
 
Kila la heri katika maisha mapya...Hakika uliusemi wa walioko ndani wanapambana kutoka nje na walioko nje wanatamani kuingia ndani...Karibu ndani ya nyumba uje ujione machaguzi yale uliyoyafanya kama ni sahihi ama ulibug...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom