July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
hongera kwa hilo. lakini ngoja nikufanyie analysis..
1. bado unampenda saaana
2. akirudi akakuomba msamaha na akasema amebadilika ( tunasemaga hivo) au amejifunza na anajutia.. utakubali hapo hapo tu..au utarudi kuomba ushauri hapa fasta. na hata kama ukiupata bado utamrudia #trueLoveNeverDies
3. umemuwahi kuachana nae ukiogopa kwamba atakuacha tena niia hutaki kuyarudia maumivu uliyoyapitia tena..
4. i might be wrong!