Leo na mimi nimeamua kuandika

Leo na mimi nimeamua kuandika

Uishiwe sasa,hayo magoti sahau
Wa mama wa kichaga baada ya kuzika mume!
20250512_075851.jpg
 
Wala sina mambo mengi zaidi ya kusema nampenda sana mke wangu Ester, huyo mtoto wa kichaga ananimaliza sana.

Mungu akulinde sana Ester wangu.
Wanaume wote waliolishwa limbwata na kurogwa ndio wanavyokuwa hivyo, sisi tumeshayaona na kuyashuhudia mengi, pole sana.

Angalizo, yoyote anayemfahamu huyu iwe ni ndugu au jamaa amsaidie, tukichelewa huyu kumsaidia tutakuwa tumeshampoteza.

Daaaaa!!!! hawa dada zetu hawa mbona watatumaliza.
 
Back
Top Bottom