LEO na KESHO.. NCHI YANGU TANZANIA WEWE JE.?

LEO na KESHO.. NCHI YANGU TANZANIA WEWE JE.?

Hau

Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
24
Reaction score
1
MiMI ni mtanzania tena wa asili. Ndugu zangu tuwe wakweli uwaga jinsi unavyo jiona wewe tofauti na wengine. Naona tabu sana ninavyoona vitu vinavyoenda nchini masikini na tajiri kunatofauti kubwa sanaaaaa.. tofauti na dhamani urasimu tele na ubinafsi kwa wachache... Leo tunaaga mwaka 2011 tunakwenda 2012. Vijana waliokwenda chuo wengi na mtaani tele wengine wakipata kazi wanawasahau wenzao. Kila kona tunasikia viongozi wanagombana kuhusu madaraka itafikia kipindi kila mmoja atataka ubunge, udiwani na uraisi mwisho tutakuja pigana sana. ninawaombea dua kila kiongozi mwenye kufanya wizi, ufisadi na ujuma zozote ndani na nje ya tanzania kama mtanzania hata kushirikisha familia au rafiki mungu mpe madhara na magonjwa na ajali mpaka kifo mwaka 2012 kuanzia kesho....... Ameen.
 
Back
Top Bottom