Leo na Kesho: CCM izidi kutawala Tanzania

Leo na Kesho: CCM izidi kutawala Tanzania

Habari Tanzania!

Naomba kushiriki nanyi mawazo mapana na mtazamo usio kikomo. Katika uongozi wa awamu ya tano (5) nimegundua mambo makuu yafuatayo;

1. Nchi hii wapinzani waliopo wote kwa vyama vyote vilivyopo si wema kabisa 100% na hawafai abadani.

2. Rais kujiita mtetezi wa wanyonge ilikuwa fumbo juu ya CCM ya u-mimi na kujuana ( Mtendaji alipenda kujiweka kwa watu wasio nacho huku akiwaadhibu walionacho chamani). Hii ni fikra pana sana.

3. Nchi hii watu wengi sana wapo gizani juu ya elimu, rasilimali na sera maendeleo kutokana na kufungwa sambamba na kupumbazwa kifikra na watu wenye nia ovu kwa nchi yetu.

NB
Nitaisimamia CCM miaka yote na kuamini CCM ndio chama bora na safi kwa maendeleo ya taifa letu. Kiukweli vijana tuamke na tuione kesho ya nchi hii.

CCM ni bora zaidi kuliko kuishi bila chama hapa nchini.

Asante.
AMINI AMINI nakuambia CCM ina nyakati nne nanusu tu mbele, mwanga unaoiangazia utazimika ghafla. waliomo wanapaswa kuiombea sana nao wajishushe wapate kibari cha aliye juu.
 
Wewe utakufa na stress tu! Wasukuma wapo na wataendelea kuwepo milele na milele yote na ndiyo wenye maamuzi nani atawale hapa TZ.
Mimi ni Msukuma ila ninachokisema ni 'Usukuma' kwenye Siasa nadhani hata Mayalla analielewa hilo
 
Sijui tumekosea wapi?ngoja tuone,,maana mbele giza nyuma giza...tulipo katikati hatujui tuelekee wapi...hakimu ndio mkuu wa mkoa....na Yule mwenzetu ndie hakimu,jaji,ndiye spika...na pia ndiye raisi wa tff...ndie takukuru ndie polisi...anakamata,anashitaki na ndio anahukumu...Sasa tupo gizani,NAE KAHUKUMIWA...labda kamwanga katakuja,MI NASUBIRI
 
Wamebaki kina ole sir buyer,mwendo ni uleule
 
Sikuwa na uwezo wa kujua hili kama ukiandika chochote hapa JF juu ya CCM huwa kuna teuzi sijui zitakuwa zinahusiana na nini kwa mfano?

Hizo teuzi za umalaya naomba unijuze nami niwajue malaya wateuliwa?

Ndugu,

Uhitaji maombi wala ubashiri kuhusu CCM zaidi ni kujipa maumivu moyo tu.

Karibu.
majibu yako tu yanatosha kuonyesha mliomo ndani mlivyo kwisha jiinua, na wala hammhitaji aliye juu kwani mnadhani mlishajijenga kama mnara wa babeli, yeye aliye juu asema mtapolomoka ghafla hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe jingine,lililowakuta sasa lilikuwa ishara ya mwanzo wa wakati kumbuka mnazo nyakati nne na nusu mbele,za kukumbuka na kujinyenyekeza la mtafutiliwa mbali wala pasisazwe kitu juu yenu.
 
Sijui unajua ukiongeacho kwa lugha ya maandishi au hutaki kujua na kuwa mwenye fahamu kuwa upinzani tulionao sasa hawafai kwa taifa kwa mambo yote ndugu.

Karibu.
 
Uwezo upi unaouzungumzia kwenye sentensi yako ndugu?

Usifanye maamuzi ukiwa umekwazika au furaha ikikutawala au huzuni ikikupata.
Huna hoja ulioijenga kwanini wawe CCM tu na si wengine.

Ukitazama nchi zote ulimwenguni zenye maendeleo endelevu ni za ki democracy. Siyo zile za kutukuza chama tawala au kiongozi alieko madarakani . Mfano Japan, Australia, Korea kusini, Africa kusini , Sweden, Norwey nk . Hizi ni nchi ambako vyama vinabadilishana madaraka tena bila taharuki wala hofu.

Kuna nchi za ki communist na za ki sosholist . Mfano Korea kaskazini, China , Urusi, Zimbabwe nk . Hizi ndiyo kama Tz . Kwao ni kukitukuza chama tawala au kiongozi alieko madarakani. Na ukiziangalia kimaendeleo ziko nyuma na hazina cha kujivunia na Tanzania ni mojawapo.

Ukisema CCM ndiyo yenye nia njema na nchi hii ni uongo. Walioingia mikataba mibovu ni kina nani ?!. Walioiba mashirika ya umma ni kina nani ?!.

Mambo ni mengi acha nikuache [emoji107]
 
Lini utaweza kuamini kuwa unaweza kufanya jambo jema na watu au nchi nyingine wakaiga mawazo yako? Hizo nchi uzisemazo wao walitoa wapi hayo mawazo mpaka wewe kuona wao ni bora na wanafaa kuwekwa mfano katika maarifa yako?

"Udogo au Ukubwa wa jambo hutokana na fikra zako tu".
 
Uzi hauna maana kabisa. Sema sheria za jukwaa ni tuheshimiane. Ila ewe ngosha ficha ujinga wako

Brother!

Baibui na Dera yote yanafanana (vazi) tofauti yake ni rangi tu; na idadi ya wanaopenda kuyavaa.

Karibu wa kwetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom