Leo mpo wapi.....?

Leo mpo wapi.....?

Tano na nusu...
Njoo ulimong'onyoe uno na vibao kama Boko, Kachiri, Njenje, Kinyaunyau, Mdoo, Tupendane, Gere, Nchecheme na vingine vingi...

kauli mbiu ya Njenje ni ''once your in, always in''
So kama ukija leo basi hutokaa ukose Jumamosi zote zinazofuata, labda tu kwa udhuru maalum.

Wastaarab wa Dar utawakuta Salender...
Hakuna ngumi, kurushiana chupa wala tashtiti nyingine.

napenda sana Mdoo.....hv ule si mdumange.....naupenda mdumange.....
 
napenda sana Mdoo.....hv ule si mdumange.....naupenda mdumange.....


Hah hah kwa nini wapenda mdumange weye?
Au na weye ni waja leo waondoka leo?...boh

Kwenye Mdoo kuna sehemu wanaanza kuvunja kikombe sasa...
''nivunje kikombe nsivunje...vuuunja''
Ukiskia huyo Chomba wake Pendo''
Haloooh ooh
''nivunje kikombe nsivunje...vuunja''
Ukiskia huyo Preta wake .................''
 
pretta karibu chagua kinywaji
 
Last edited by a moderator:
mbona vitu vidogo,ibuka basi

waiter....hiyo glass paka chumvi ya kutosha....na limao uweke.....nipe chumvi kidogo ya kulamba.....weraaaa(in chugga tone).....
 
kwani leo si ndo siku ya kuogelea......?

Njoo kwanza hii hapa uonje ladha yake,si kucopy na kupaste ndo inatumika now
249267_481016195254328_1152943761_n.jpg
 
chit chat choka mbaya.....lala wote....
 
We Preta unawanga? all night long hujalala ushapanda ungo from Yaeda to Dar! OMG! Miss you though...
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom