Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,546
Mi acha nifunge bakuli , manaake nafanya vitu vya aibu rite now!
We kijana, umeshindwa kuvumilia mateso umeamua kutafuta MJASIRIAMWILI nini!? nakumbuka kauli yako ya jana
Mi acha nifunge bakuli , manaake nafanya vitu vya aibu rite now!
mkuu hapo nitakuja kwenye saa kumi na moja kasoro asubuhi.....siko mbali sana na hapo.....supu si itakuwa tayari......?
Mie nko vila park naenjoy mziki live ikifika mida ya sa6 ntaingia kiss club kuruka debe...karibu Preta
Naam! Hapa ni kwamba kauli inayotumika ni moja tu kama hawa jamaa wa mtandao wanaosema KAZI ni KWAKO TU na hapa naona masupu kama kawa vile! Ila ngoja kwanza ikishushwa down tu nakuseach nawe uwepo hapa!
Kha ha ha ha ha ha ha haaaaa! Jiji la Arusha raha sanaaa! Kila kitu kinaenda kama wenyeji wanavyotaka
umeona eeeeeh......
Hiyaaaaa, tena nimenyoosha mikono yote miwili!.aliepo Elements anyooshe mkono....nimuone....saa hii.....
Au Jumamosi hamtoki.....? mmekuja kuwaje bana.....?
nitakuja....tukutane saa ngapi......?