Leo mpo wapi.....?

Leo mpo wapi.....?

Daaah niko kwenye lindo!
Yan full mbu hadi raha!
 
Nipo Manzese kwa mfuga mbwa, nakamata kilaji aina ya pingu....Life is good!.
 
hv ni kwamba mlilewa au.....?...ngoja nikasake zangu supu saa hii.....wana chit chat mmeniangusha sana.....
 
Back
Top Bottom