Leo Mbeya Mjini: Sugu (Rais wa Mbeya) Vs Benjamin Mkapa (Rais mstaafu)

lusaka city

Senior Member
Mar 17, 2015
146
116
Leo kufunga kampeni wawili hawa watakua wakitema sumu sehemu tofauti, Mkapa amekuja kumnadi ndugu Sambwe Mwalyego Shitambala kwa mujibu wa utafiti ndie mgombea asikubalika zaidi katika majimbo yote Mbeya sababu ya usaliti wakuuza jimbo CCM.

Angalizo CCM uwanja mliochukua ni mkubwa sana.

Kinana alishindwa kujaza watu waliojitokeza ni wachache hata Leo hamasa hakuna huyo mgombea hauziki itakua aibu kwa Mh Mkapa.

Sugu ule uwanja ni kidogo ikiwezekana hamishia hata airport au badilishaneni na CCM msije mkapoteza wapiga kura kwa kukosa hewa.
 
Leo kufunga kampeni wawili hawa watakua wakitema sumu sehemu tofauti mkapa amekuja kumnadi ndugu sambwe mwalyego shitambala( kwa mujibu wa utafiti ndie mgombea asikubalika zaidi katika majimbo yote mbeya sababu ya usaliti wakuuza jimbo ccm
*angalizo Ccm uwanja mlio chukua ni mkubwa sana
kinana alishindwa kujaza watu waliojitokeza ni wachache hata Leo hamasa hakuna uyo mgombea hauzuki itakua aibu kwa mh mkapa

*sugu ule uwanja ni kidogo ikiwezekana hamishia ata airport au badilishaneni na Ccm
msije mkapoteza wapiga kura kwakukosa hewa

Tumesmbiwa hapo mbeya mmojawenu Wazushi yuko Lockup wewe utadakwa muda wowote kwa uongo wako
 
kamanda wenje na mh sumaye, kamanda highness na mh kingunge, pombe ijui ataleta fiesta+ watoto wa chekekea? May be

Na kama wanasafirisha wapambe kutoka vijjijni watashindwa kuwarudisha na kesho hawapigi kura kwenye maeneo yao. Hili hawana ujanja wa kulizuia hata waroge! Ccm Toooooooooooooka!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom