Leo masumbwe

Leo masumbwe

Mwalimu Mlaki

Member
Joined
Feb 11, 2015
Posts
62
Reaction score
8
Nilichokishuhudia leo ikiwa ni siku moja tu kabla ya ujio wa Lowassa ni vijana waendesha pikipiki wakiwa wamevalia fulana nyekundu na bendera za CDM,lugha ya kampeni ni ya kumkashifu Mbunge wa CCM kuwa "analala tu bungeni"ila nimeshangaa sijasikia wakisema kuwa wanayemnadi atafanya nini bungeni au atajizuiaje asilale akiwa Dodoma.
Vijana waendesha pikipiki walichangamsha sana eneo la sheli ya Maganga walipoanzia safari yao ya kuhamasisha,kwa upande wa watu wengine nilichokiona ni watu. Kuendelea na shughuli zao na mmojammoja kuangalia mbwembwe hizo.
 
Wapi tiririka, tupia na kapicha
 
Sidhani kama we ni mwalimu kama ID yako ilivyo,labda mwalimu wa mapenzi
 
utakuwa mwalimu wa judo tu..sio hawa wenye madai maridhawa bin lukuki....
 
Back
Top Bottom