chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,352
- 25,874
Mimi hiyo ya kwenye ndoo ndio brekifasti, lanchi na dina yangu kila Siku, nili- ihamu sana
Haha uleterewa nganengo iyoo mchaka okwiii?
Mimi hiyo ya kwenye ndoo ndio brekifasti, lanchi na dina yangu kila Siku, nili- ihamu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Lazima mtu atoe mbelea hapo...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] hapo nimetamani hiyo ya kwenye ndoo
Kwa ulimwengu wa macho yako unakuonyesha ni kinyesi lakini mkuu hicho ni kinywaji tena kinaheshimika mno huko uchaganiKumbe we ni mpenzi wa kinyesi.....ile ndoo imebeba kinyesi ili kuleta stimu kwa walevi.
Huu mchanganyiko ukinywa Leo unakuja hadi mwakani February
Huyu uswahilini lazima apakuliwe
Na commonBijibuji weka na Kimpumu ya kwetu.
Ndio maana warembo wanakimbilia kenya aisee
Exchanges[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] na wakenya wanakimbilia huku
Mkuu comoni na mchujo ni balaa hasa ukinywa kwenye kilabu cha Rejiko!!?Na common
Lejiko ni shule ya sekondari siku hiziMkuu comoni na mchujo ni balaa hasa ukinywa kwenye kilabu cha Rejiko!!?