LEO KWENYE 5 Connect ya East Africa TV.

LEO KWENYE 5 Connect ya East Africa TV.

PRUDENCE GERALD

New Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
4
Reaction score
3
Mada ya Leo: Je? Serikali ya Tanzania inafanya nini kuboresha michezo nchini?

Wageni: M/kiti CHANETA: Mama Ana Bayi
Mwandishi mwandamizi:Florian Kaijage
Mwandishi: George John.

Nini mtazamo wako juu ya hilo?

Usikose ni leo saa 1 Kamili Jioni. Na mtangazaji wako Prudence Gerald.
 
Hivi nyie watangazaji uchwara mtajifunza lini ona hapo mada inahusu mchango wa serikali katika michezo lakini hakuna main speaker kutoka serikalini ili tuwabane tupate majibu ya mchango wa serikali au shida yako ilikuwa kutuonesha picha yako baada ya kujidodeka make up za kichina emu huu upuuzi muwe mnaupeleka kule ukumbini kwenu FACEBOOK.
 
Mada ya Leo: Je? Serikali ya Tanzania inafanya nini kuboresha michezo nchini?

Wageni: M/kiti CHANETA: Mama Ana Bayi
Mwandishi mwandamizi:Florian Kaijage
Mwandishi: George John.

Nini mtazamo wako juu ya hilo?




JE NI KWELI MICHEZO IMEGEUZWA SIASA?

Usikose ni leo saa 1 Kamili Jioni. Na mtangazaji wako Prudence Gerald.
 
salama mkuu! mwenzio sijui kingeredha vidhuri aisee!

In political science nonpartisan denotes an election, event, organization or person in which there is no formally declared association with a political party affiliation
 
Mie najiuliza TFF kuna nini huko mpaka lundo la watu limechukua fomu kugombea nafasi za Uongozi!!?, Hao wote waliochukua fomu wana lengo kweli la kuboresha Soka au ndio yale yale ya kichwa cha mwendawazimu
 
tutakuangalia mudaukifika shida nikipost maswali wakati wa kipindi huyasomi sijui kwanini huyapendi maswali yangu........😕
 
hii mambo unatakiwa unasema siku moja kwanza bidada ili watu wajiandae kuliko kustukiza kama ulivofanya hii itawafanya watu wengi wawewanaelewa ni vipi wajiandae juu ya hili swala ni hayo tu kwa sasa..

BTW karibu sana Jamvini... prudence gelard
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom