tupo south kwa madiba mkuu.Halloo MMU fans,
Naomba kuchukua time hii kuwajulisha,
leo jioni kuanzia saa kumi na moja tutakuwa na interview hapa
jamvini.
Naomba nisiwape topic kwa wakati huu kwani inaweza kuvuja
mapema.
Wageni wetu leo ni wawili wa nguvu
1. watu8
2. Heaven on Earth...
Nawakaribisha sana.
Uran..
CC; shansarie, Nambe,
jamani mda hauend maana na mzuka na hiyo interview..dah hebu tusubili tuone....
heaven on hearth jipange sana, am sure utabanwa kuliko mwenzio....!