LEO KATIKA KUMBUKUMBU

LEO KATIKA KUMBUKUMBU

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,131
Reaction score
882
Tarehe 20 oktoba 2022 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alishiriki maadhimisho ya miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF), yaliyofanyika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam, na kutoa tuzo kwa baadhi ya waanzilishi na wadau.


Katika tukio hilo Rais Samia alisisitiza umuhimu wa kuondoa mila na desturi kandamizi, kutathmini sheria zilizopo na kuhakikisha sheria zinapatikana kwa lugha ya Kiswahili ili kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu haki zao.
IMG-20261020-WA0051.jpg
 
Tarehe 20 oktoba 2022 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alishiriki maadhimisho ya miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF), yaliyofanyika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam, na kutoa tuzo kwa baadhi ya waanzilishi na wadau.


Katika tukio hilo Rais Samia alisisitiza umuhimu wa kuondoa mila na desturi kandamizi, kutathmini sheria zilizopo na kuhakikisha sheria zinapatikana kwa lugha ya Kiswahili ili kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu haki zao.View attachment 3694458
Wewe ni Zack Abdul au ni Abdul Ameir? Which is which? 😏
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom