Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,258
- 950
Rais Samia apokea Kifimbo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza (Queen's Baton Relay). Tarehe 13 Novemba 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alipokea Kifimbo cha Malkia wa Uingereza katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Kifimbo hicho kilikuwa sehemu ya safari ya kimataifa ya kuashiria maandalizi ya Michezo ya Jumuiya ya Madola iliyofanyika Birmingham, Uingereza, mwaka 2022.