HANA jipya atakalosema zaidi ya porojo...Hayo mafuriko yalitokea lini..ni leo?
Anaenda kuzugazuga, then anarudi zake kupiga wine mdogomdogo...hiki ni kipindi cha kuweka strategies za kushinda uchaguzi ujao bana...waache wafu wawazike wafu wao!
Hakuna jema kwenu kwa JK. Akienda munalalamika, asipokwenda munalalamika.
Kha!
Waswahili wanasema anakwenda kukumbusha kilio matangani!
Annina
Eti atakuwa anawafariji wahanga wa mafuriko huku akiwa juu ya helcopter ya polisi, duh!
baada ya kusikia Muamar katoa msaada wa kujenga nyumba.. what else could JK do? Binafsi nampa changamoto ya kumatch msaada wa Muamar Gadafi ..
baada ya kusikia Muamar katoa msaada wa kujenga nyumba.. what else could JK do? Binafsi nampa changamoto ya kumatch msaada wa Muamar Gadafi ..
Hii helicopter sio miongoni mwa zile zilizoleta matatizo wakati wa Sullivan?. au ile iliyomkosakosa Mahita kule Lindi akaondoka afisa mmoja wakati wa kutua?. Kuna haja ya kuwa na "IKULU MARINE ONE" kwa usalama wa viongozi wakuu. Kwa nini asipande kiberenge? au Sheikh Yahya kisha wapa green light kupanda hilo ngalangala?
Safi sana mwanakijiji hawezi kufanya hivyo yeye ameshupalia kuiba pesa ya walipa kodi na kujenga Bwagamoyo.