Wahanga na Waathirika wa Mafuriko na Makanisa na Misikiti Yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahanga na Waathirika wa Mafuriko na Makanisa na Misikiti Yetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TANURU, Jan 28, 2010.

 1. T

  TANURU Senior Member

  #1
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu,

  Hivi tunafanya nini Makanisani na Misikitini kwetu katika kuwasaidia Watanzania wenzetu waliokumbwa na kuathiriwa na mafuriko makubwa hasa huko Kilosa na Dodoma?
   
 2. c

  charles mususa JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 208
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Huko makanisani kunachekesha sana aisee mimi ni mkatolliki mama mmoja kaunguliwa nyumba tumeshindwa kabisa kumsaidia inatisha. sasa shangaa wakisema askofu anakuja au zawadi kwa padri utachoka kwa hiyo michango.nadhani hizi dini sijui zinatupeleka wapi
   
Loading...