Leo JK yupo Kilosa!

Omumura

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
476
18
Kwa habari nilizonazo, Leo JK yupo Kilosa mkoani Morogoro kuwafariji wahanga wa mafuriko. Pinda alianza yeye anafuatia!

Pia soma

HANA jipya atakalosema zaidi ya porojo...Hayo mafuriko yalitokea lini..ni leo?

Anaenda kuzugazuga, then anarudi zake kupiga wine mdogomdogo...hiki ni kipindi cha kuweka strategies za kushinda uchaguzi ujao bana...waache wafu wawazike wafu wao!
 
Eti atakuwa anawafariji wahanga wa mafuriko huku akiwa juu ya helcopter ya polisi, duh!
 
Yaani yeye ndo anakumbuka leo? Mafuriko yalianza lini? kazunguka weeeeee nchi za watu leo ndo anaenda kilosa kwa wananchi wake wenye matatizo?
 
Hata Same ilikuwa hivi hivi. .. anakuwa wa mwisho mwisho (isipokuwa kwa mambo yanayoigusa Chalinze)
 
HANA jipya atakalosema zaidi ya porojo...Hayo mafuriko yalitokea lini..ni leo?

Anaenda kuzugazuga, then anarudi zake kupiga wine mdogomdogo...hiki ni kipindi cha kuweka strategies za kushinda uchaguzi ujao bana...waache wafu wawazike wafu wao!

Msanii tu huyu mafuriko yametokea kitambo hakuwa na muda wa kwenda kuwafariji waathirika hadi hii leo. Anaweza kutwambia kwa nini ilimchukua muda mrefu kiasi hicho kwenda kuwapa pole waliokumbwa na mafuriko? Hana jipya.
 
Hakuna jema kwenu kwa JK. Akienda munalalamika, asipokwenda munalalamika.
Kha!

Unaenda kuwapa pole watu baada ya karibu wiki sita, wakati huo huo alikwenda Msumbiji kuapishwa Rais wa nchi hiyo safari ambato angeweza kuidelegate na yeye kwenda kuwapa pole waathirika. Kama vipaumbele vyake vimekaa kushoto lazima tuseme ati!
 
Eti atakuwa anawafariji wahanga wa mafuriko huku akiwa juu ya helcopter ya polisi, duh!

Hii helicopter sio miongoni mwa zile zilizoleta matatizo wakati wa Sullivan?. au ile iliyomkosakosa Mahita kule Lindi akaondoka afisa mmoja wakati wa kutua?. Kuna haja ya kuwa na "IKULU MARINE ONE" kwa usalama wa viongozi wakuu. Kwa nini asipande kiberenge? au Sheikh Yahya kisha wapa green light kupanda hilo ngalangala?
 
baada ya kusikia Muamar katoa msaada wa kujenga nyumba.. what else could JK do? Binafsi nampa changamoto ya kumatch msaada wa Muamar Gadafi ..
 
baada ya kusikia Muamar katoa msaada wa kujenga nyumba.. what else could JK do? Binafsi nampa changamoto ya kumatch msaada wa Muamar Gadafi ..

Safi sana mwanakijiji hawezi kufanya hivyo yeye ameshupalia kuiba pesa ya walipa kodi na kujenga Bwagamoyo.
 
baada ya kusikia Muamar katoa msaada wa kujenga nyumba.. what else could JK do? Binafsi nampa changamoto ya kumatch msaada wa Muamar Gadafi ..

I cxan't see that happening kwa mtu ambaye ana hulka ya kpenda kusaidiwa saidiwa and who believes it is a way out. In fact he will possibly come out and say hata hiyo ya Gaddaf yeye ndiyo amefacilitate.
 
Hii helicopter sio miongoni mwa zile zilizoleta matatizo wakati wa Sullivan?. au ile iliyomkosakosa Mahita kule Lindi akaondoka afisa mmoja wakati wa kutua?. Kuna haja ya kuwa na "IKULU MARINE ONE" kwa usalama wa viongozi wakuu. Kwa nini asipande kiberenge? au Sheikh Yahya kisha wapa green light kupanda hilo ngalangala?

Wee unawapa green light wanunue kitu? Watashusha kitu hapa feki na kimekula hela nyingi na ununuzi wake utakuwa wa mauzauza kama richmond
 
Mkulu wetu anashindwa kabisa kupriotise mambo!!!! sasa anaenda leo atawaambia nini waathirika, kwamba alipata uzuru ndio maana alishindwa kufika??!!!. Hivi ni lini serikali yetu itaipa kipau mbele maisha ya wananchi wake? swali naomba kuiuliza serikali ya wadanganyika
 
Kilosa huo ni ugeni mkubwa natumai watafarijikaa zaidii...

Imekuwaa mapema kutembelewa na mkuu wa kaya kuliko Same.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom