Leo ilikuwa zaidi ya blue monday

Leo ilikuwa zaidi ya blue monday

Nilisema leo sigusi kabisa ila kufika saa 12 nikaanza kujiona sio mimi kabisa yaani nilianza hadi kumkumbuka marehem mama🤣🤣🤣aisee nimeenda kunywa
Mimi nilipomaliza bapa nikatoka nduki😂 ndio nafufuka muda huu🤣
 
Back
Top Bottom