Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,594
- 18,816
Sijawahi kunywa spirit nakunywa beerMkuu Heineken si ni sawa na K vant hizo pombe za ajabu sizipendagi
Sijawahi kunywa spirit nakunywa beerMkuu Heineken si ni sawa na K vant hizo pombe za ajabu sizipendagi
Unamfundisha Mshana Jrmambo ya chumvi?M'U Mmm'. Umesahau au umechanganya forumulaa! Ungeanza siku kwa kuoga chumvi ya mawe halafu huo mtori achana nao; pata kitu kitakatifu kitimoto chap' uone kama siku haitakuwa mwemere'mwemere na siku itakaa sawa kwako.
Nimekumbuka ule uzi wako wa chumvi ya mawe!Anakumbushia...! 😀
😂😂😂Mshana kashazeeka na hajui
Wewe sio mzee bwana😭😭😭🙌🏿
Hata sikuwaza wallah😂😂😂😂Hii just hapa Kwandambi shee... Ila soma huo ujumbe kwanza😂
View attachment 3651842
🤣 Shee huu ujumbe siutaki, nataka kukucheka tu.Hii just hapa Kwandambi shee... Ila soma huo ujumbe kwanza😂
View attachment 3651842
Blaza dawa ya moto ni faya😀Kama jmeamua kuweka Heineken asubuhi sijui mchana huu utakuwa na hali gani...
Hapo naona ni sawa na mgonjwa badala ameze dawa ili apone. ameamua kujiongezea chanzo cha ugonjwa...
Namsubiri jioni nimsikie atakuwa na hali gani!
Niko njiani nakuja kukucheka.Nimekushindwa sheesh🙌🏿🙌🏿🤣
Ila pumzika kidogo aisee... hiyo tripu ya asubuhi kama hukudata tumshukuru Mungu!Blaza dawa ya moto ni faya😀