Hivi mkuu mshana jr ni kweli kabisa unayoyasema au ni hadithi tu? Ikiwa ni kweli basi ni mbaya sana na ni aibu kubwa.
FaizaFoxy hakuna kitu kibaya maishani kama kuwa mnafique wa kiwango cha level yako.....huijui Biblia zaidi ya mistari michache unayoquote kwa manufaa yako binafsiMkiambiwa ulevi haramu, hamtaki.
1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Mkiambiwa ulevi haramu, hamtaki.
1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Ulevi ni noma ajabu,tena una madhara makubwa kama Mzee Lutu wa Biblia kuzaa na binti zake watoto noma kama ilivyo kuzaa wana wa laana (SOMA MWANZO 19:30-38)
Mwanapropaganda sitaki kesi mi simo
kweli kabisa biblia sio habari na story zakale kila mstari unamaana zaidi ya milioni trust meWatoto wa Lutu walifanya kwa nia ya kuendeleza kizazi, mama alishageuka jiwe la chumvi, baba anazeeka wao ni mabinti... Walitumia hekima kubwa kufanya vile kwakuwa kwa hali ya kawaida wasingeweza hata siku moja kumvulia babayao chupi
Kuna kitu kikubwa cha kujifunza kwenye habari za Lutu kuna fumbo kubwa pale la kiimani kuhusu uumbaji
FaizaFoxy hakuna kitu kibaya maishani kama kuwa mnafique wa kiwango cha level yako.....huijui Biblia zaidi ya mistari michache unayoquote kwa manufaa yako binafsi
Jikumbushe hiyo hiyo michache au huiamini? Nnakushangaa kuwa hiyo mistari huoni manufaa kwako.
Kwa kukukumbusha tu, hakuna aijuae biblia zaidi ya Muislam.
Watoto wa Lutu walifanya kwa nia ya kuendeleza kizazi, mama alishageuka jiwe la chumvi, baba anazeeka wao ni mabinti... Walitumia hekima kubwa kufanya vile kwakuwa kwa hali ya kawaida wasingeweza hata siku moja kumvulia babayao chupi
Kuna kitu kikubwa cha kujifunza kwenye habari za Lutu kuna fumbo kubwa pale la kiimani kuhusu uumbaji
Watu badala ya kujadili mada wanajifanya wajuaji wa maandiko. Mambo hayo hufanywa hata na watu wasiowahi hata kugusa pombe. Wapo wababa wengi wamezini na binti zao na sio kwa kuwa wamelewa maisha ni mapana sana. Lakini mshana jr huyo mke kwanini alimpisha mama yake chumbani kwao me naona kama ni set up. Hebu nipe jibu...