Leo ilikuwa kipaimara cha Anne

Leo ilikuwa kipaimara cha Anne

FaizaFoxy hakuna kitu kibaya maishani kama kuwa mnafique wa kiwango cha level yako.....huijui Biblia zaidi ya mistari michache unayoquote kwa manufaa yako binafsi
Fafanua kidogo ndugu.....kama sijakuelewa vile
 
Last edited by a moderator:
Mkiambiwa ulevi haramu, hamtaki.

1 Wakorintho 6

9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.

Amen
 
Namsifu mamamkwe kwa uelewa wake na kifua chake kwa kutunza siri kwani endapo angesema ndoa ingevunjika.
Utu uzima dawa........
 
Mama mkwe ana makosa. Kwanini akubali kugegedwa. Alikuwa anafurahia tu
 
story kama hii nshawahi isikia mie najuanga ni jokes tuu, ila kama ni kweli jamaa ni changamoto
 
Pombe pombe pombe kwakweli imekua ikionewa sana na yote ni kwasababu ya kuitumia bila kipimo na kubaki kulaumu pombe tu (too much is harmful )
 
Ukishalewa sawasawa maandalizi hakuna tena ni kugegeda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom