Ni mfumo tu wa utendaji kazi sasa umebadilika, mtuhumiwa unatangulia kwanza kuhojiwa kisha aliyetoa tuhuma naye anahojiwa. Tunaanza kwanza kuchakata Output ndipo tunakuja kwenye Input.
Shutuma alizotoa Musiba ni kubwa sana, hizi ni tuhuma ambazo haziwezi kupita bila muhusika kuhojiwa, sasa kama hatahojiwa kabisa nitajuwa huyu anatumwa sio bure. Hatuwezi kudanganyana kuwa huyu ni mgonjwa, kama ni mgonjwa basi apelekwe hospitali.
Kweli mkuuHakuna wa kumuhoji Mkuu huyo kishapewa go ahead na nduli na dikteta wa Ikulu.
Sasa wazee wamesemelea kwenye chama, genge la musiba lijiandaeHuyo ni mwenyeji wa ikulu
Wala usipate taabu kumfahamu
Bado hajahojiwa, sasa wazee ndiyo wameanza kuchukua hatua ndani ya chama, musiba anatumwa na kutumiwaHahahah anaweza kuwa kasha hojiwa, na kama bado labda hajapata wito wa polisi, ama polisi wanafahamu ni maagizo alipewa hivyo hawasumbuki kumuhoji. Ni sawa kupeleleza kesi ya Tundu Lisu wakati wanafahamu ukweli ukoje, ni kujipotezea muda kufurahisha watu msiofahamu.
Mkuu wazee wa chama wameanza kuchukua hatua, sasa tutajua hii ni spika ya naniHakuna wa kumuhoji Mkuu huyo kishapewa go ahead na nduli na dikteta wa Ikulu.
Huyu anaweza hata akakupiga vibao na ww ukaenda kushtaki na asichukuliwe hatua yoyoteMkuu wazee wa chama wameanza kuchukua hatua, sasa tutajua hii ni spika ya nani
Hahahahaha ataanzaje, hapo ndiyo atajua watanzania sio wajinga sana wanataka kujua kilichompata MO hahahahahahahahaHuyu anaweza hata akakupiga vibao na ww ukaenda kushtaki na asichukuliwe hatua yoyote
Ova
Tusaidiane kazi, tusiwaachie madaktari peke yaoShutuma alizotoa Musiba ni kubwa sana, hizi ni tuhuma ambazo haziwezi kupita bila muhusika kuhojiwa, sasa kama hatahojiwa kabisa nitajuwa huyu anatumwa sio bure. Hatuwezi kudanganyana kuwa huyu ni mgonjwa, kama ni mgonjwa basi apelekwe hospitali.
CCM ndiyo wanatakiwa wamtibu huyu punguaniTusaidiane kazi, tusiwaachie madaktari peke yao
Shutuma alizotoa Musiba ni kubwa sana, hizi ni tuhuma ambazo haziwezi kupita bila muhusika kuhojiwa, sasa kama hatahojiwa kabisa nitajuwa huyu anatumwa sio bure. Hatuwezi kudanganyana kuwa huyu ni mgonjwa, kama ni mgonjwa basi apelekwe hospitali.
Musiba anaongea utumbo mtupu mpaka aibu lakini CCM wanamuangalia tu, eti kwa kuwa anamsifia Rais, amkeni nyie maccmKwa hiyo mkuu wewe mpka leo huamini?
Aisee acha hawa jamaa watuone wajinga maana hata hii barua ni maigizo sasa ukishwindwa kuchuja utashaangaa unaitwa zumbukuku
kwa sasa kinachonifurahisha ni kuwa hata wale waliopambana kumuweka MAGOGONI nao wamechoshwa sasa wanajitoa muhanga!!!Shutuma alizotoa Musiba ni kubwa sana, hizi ni tuhuma ambazo haziwezi kupita bila muhusika kuhojiwa, sasa kama hatahojiwa kabisa nitajuwa huyu anatumwa sio bure. Hatuwezi kudanganyana kuwa huyu ni mgonjwa, kama ni mgonjwa basi apelekwe hospitali.
Mkuu wazee wa chama wameanza kuchukua hatua, sasa tutajua hii ni spika ya nani