vivian
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,749
- 1,000
Mimi sijafurahia kauli za mwana FA.
Eti nafikiria kuarisha show yangu ila sio kwasababu nina muogopa Mwanamke.
Why dont you reffer to Jide. hiyo ni kauli ya dharau kwa sisi wanawake.
All ladies please igore this arrogant peron.
Sipendi watu wenye madharau jamani. hivi wewe mwana FA tungeamua wanawake wote hatununui kazi zako wali kuja kwenye show zako ungekua na kuburi cha kutudharau leo???????????
Nimekerekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
YOU HAVE JUST SPOILT MY FRIDAY! HOPE JIDE WILL RE-IGNITE IT