Leo Ijumaa kwa Jideee.

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
Mimi sijafurahia kauli za mwana FA.

Eti nafikiria kuarisha show yangu ila sio kwasababu nina muogopa Mwanamke.

Why dont you reffer to Jide. hiyo ni kauli ya dharau kwa sisi wanawake.

All ladies please igore this arrogant peron.

Sipendi watu wenye madharau jamani. hivi wewe mwana FA tungeamua wanawake wote hatununui kazi zako wali kuja kwenye show zako ungekua na kuburi cha kutudharau leo???????????

Nimekerekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

YOU HAVE JUST SPOILT MY FRIDAY! HOPE JIDE WILL RE-IGNITE IT
 
Mwanaume gani anapelekwa pekwa kamdoli...yani kwangu mimi jide ndp anastahili kuitwa kidume..maana yuko strooong mbayaaa...sio huyu mwanafatumwa
 
Mimi sijafurahia kauli za mwana FA.

Eti nafikiria kuarisha show yangu ila sio kwasababu nina muogopa Mwanamke.

Why dont you reffer to Jide. hiyo ni kauli ya dharau kwa sisi wanawake.

All ladies please igore this arrogant peron.

Sipendi watu wenye madharau jamani. hivi wewe mwana FA tungeamua wanawake wote hatununui kazi zako wali kuja kwenye show zako ungekua na kuburi cha kutudharau leo???????????

Nimekerekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

YOU HAVE JUST SPOILT MY FRIDAY! HOPE JIDE WILL RE-IGNITE IT
vivian embu kam kwa huku tutete kidogo!
 
Last edited by a moderator:
Mimi sijafurahia kauli za mwana FA.

Eti nafikiria kuarisha show yangu ila sio kwasababu nina muogopa Mwanamke.

Why dont you reffer to Jide. hiyo ni kauli ya dharau kwa sisi wanawake.

All ladies please igore this arrogant peron.

Sipendi watu wenye madharau jamani. hivi wewe mwana FA tungeamua wanawake wote hatununui kazi zako wali kuja kwenye show zako ungekua na kuburi cha kutudharau leo???????????

Nimekerekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

YOU HAVE JUST SPOILT MY FRIDAY! HOPE JIDE WILL RE-IGNITE IT
ahhhahaha dada taratibu pleeeese maana naona huku tunakuoelekea inaanza kuwa bifu kati ya wanaume na wanawake.....Katika nchi kama hii sitashangaa likitokea hili.....mambo mengi ya ajabu yanatokea tanzania...ahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom