Leo Hii Lowassa ni Mbunge wa Arusha/Monduli Hadi Aruhusiwe Maandamano na Mikutano?

Mmmh! Usije kuwa ni wa ile jinsia ambayo ikikolea utasikia "ntukanie mama! Ntukanie maaa!"
Na sio kwa kumaanisha bali kakolea!

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe nakuheshimu sana na ndiyo maana sitaki Kukupiga ' Madongo ' yangu halafu na leo pia ni Jumapili ' Injili ' ya leo Kanisani ' imenikolea ' mno. Bahati yako!
 
Hapa Kazi tu....
tapatalk_1551122467838.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaanza uzee wiki iliyopita? Jiwe ana siasa za kishamba mno. Amegundua yuko chama analojia imebidi atumie nguvu kuhakikisha chama digital hakisikiki. Mtu kapata madaraka kwa kupiga pushup unategemea nini?
Niko huku kaskazini kuna manunuzi ya maasai shuka na konyagi kwa fujo nadhani anarudishiwa Ulaigwanani wake. Nawahurumia ng'ombe watakaoangushwa.
 
Back
Top Bottom