Leo Hii Lowassa ni Mbunge wa Arusha/Monduli Hadi Aruhusiwe Maandamano na Mikutano?

Hao unaowaita wahuni walimstiri alipotoswa na kudhalilishwa na CCM !!!. CCM ndiyo wahuni walipomwambia AMEJINYEA, Je watamtawaza sasa ?!.

Hao unaowaita wahuni imebidi Lubuva arekebishe mahesabu ili kuwadhulumu, kwa sababu hawana bunduki.

Hawa unaowaita wahuni ni waTz kama wengine na ni walipa kodi.

Ushauri wa Lowassa hauna nafasi ktk siasa za Africa na especially Tanzania . Uanaharakati ni muhimu. Pili Lowassa amefika bei ukizingatia ni mtu mzima sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Walimtawaza Chadema wenyewe sasa amerudia usafi aliotoka nao CCM
 
OTE="Elitwege, post: 30675719, member: 436884"]Umalalama kama mke mdogo .
Tulia sindano ipenye vizuri.

Chadema walimuweka Lowasa kwenye list of shame na bado wakamsimamisha kuwa mgombea wao wa urais!!

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
You are out of topic fool!
 
Hii ni aibu kwa Rais aliyepiga marufuku maandamano na mikutano ya wanasiasa katika maeneo ambayo sio Wabunge hata wawe viongozi wa chama. Ni aibu kwa vile anaonekana Muongo kama anaruhusu Lowassa wamruhusu eti kwa vile kahamia ccm afanye atakavyo kinyume na agizo lake. Au agizo ni kwa viongozi wa vyama vya upinzani tuu?
Haiwezekani kumbe eti Rais anaonekana na muongo na mtoa maagizo sio kwa manufaa ya Taifa bali kundi la chama chake. Kumbe kauli ya Lissu kuwa tupende Taifa letu ila sio serikali ya KIZANDIKI KAMA HII YA CCM ni sahihi kabisa bila chenga.
Nasi wananchi itafika mahali kwa sababu wanatubagua tuwabague nao, tukiona wana fanya jambo hata kama la kitaifa na wakaingiza uchama wao tunasema kwenda kuleee na kususia.
Lowassa karuhusiwa kufanyiwa mapokezi na maandamano Arusha wakati viongozi wanakataliwa. AIBU KWAKO BABA JESKA

Na nyie Wapinzani pambaneni mshike dola ili nanyi pia mfurahie Maadaraka na Mamlaka zaidi ya hapo kaeni tu Kimya kwani CCM ipo kwa miaka zaidi Milioni 100 kuitawala Tanzania. Kama mna Chuki na CCM hameni nchi mkatafute Uraia huko Burundi na Malawi ila kwa sasa CCM na Rais Dkt. Magufuli ndiyo wenye dhamana ya nchi hii Kikatiba. Tumechoka na Makelele yenu ya ' Kipuuzi ' ya kila uchao.
 
Kumbe nawe ni mpumbavu kiasi cha kuandika hoja ya Kijinga kiasi hiki? Nimekutoa kwenye kundi la GT na huna tofauti na waleee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sinema za lowassa zilivyo ni za Kishamba anaweza kujamba au akala waandishi wa habari nao wakaifanya ni habari
Ana zile siasa za kudanya wale watu kijijini wasijua ulemwengu unaendaje...
Ndio maana Chadema walimpa tiketi ya kugombea uraisi 2015.
 
Lowassa ni mtaji mkubwa kwa CCM ya Magufuli.
Lowassa kuondolewa jina lake,kulimwibua Magu,na kumzamisha Membe na kumkomoa JK
Lowassa ni muhuri wa moto.
 
pappapapapaoapapapapa.kwa bashite najiwe
IMG-20190309-WA0030.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni aibu kwa Rais aliyepiga marufuku maandamano na mikutano ya wanasiasa katika maeneo ambayo sio Wabunge hata wawe viongozi wa chama. Ni aibu kwa vile anaonekana Muongo kama anaruhusu Lowassa wamruhusu eti kwa vile kahamia ccm afanye atakavyo kinyume na agizo lake. Au agizo ni kwa viongozi wa vyama vya upinzani tuu?
Haiwezekani kumbe eti Rais anaonekana na muongo na mtoa maagizo sio kwa manufaa ya Taifa bali kundi la chama chake. Kumbe kauli ya Lissu kuwa tupende Taifa letu ila sio serikali ya KIZANDIKI KAMA HII YA CCM ni sahihi kabisa bila chenga.
Nasi wananchi itafika mahali kwa sababu wanatubagua tuwabague nao, tukiona wana fanya jambo hata kama la kitaifa na wakaingiza uchama wao tunasema kwenda kuleee na kususia.
Lowassa karuhusiwa kufanyiwa mapokezi na maandamano Arusha wakati viongozi wanakataliwa. AIBU KWAKO BABA JESKA

Swali kwanza: Umeona barua yoyote ya kuomba kufanyika kwa maandamano ya kumpokea Lowassa; kama ipo barua hiyo imeandikwa nini hadi ionekane imeruhusiwa?
 
Mzee wa zama mpya, kweli unahitaji kuona barua ili ujue kua karuhusiwa? . au unataka kimaanisha alichofanya lowasa na wasio CCM wanaweza ruhusiwa? .

Au mimi ndo sijakuelewa unachomaanisha? .
Swali kwanza: Umeona barua yoyote ya kuomba kufanyika kwa maandamano ya kumpokea Lowassa; kama ipo barua hiyo imeandikwa nini hadi ionekane imeruhusiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom