Leo February 29: Siku ya kubadilishana majukumu kati ya mwanaume na mwanamke

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Siku ya leo hutokea kila baada ya miaka minne na watu duniani huisherehekea kiaina mfano:

1. Wanawake kuomba uchumba kwa mwanaume kwa siku hii pekee badala ya mwanaume
2. Watoto waliozaliwa tarehe hii hualikwa sehemu mbalimbali
3. Wengine huamini sio siku nzuri kufanya mikataba ya kimaendeleo au ukicheza kamali siku hii utaliwa
4. Wanaume kufanya kazi za kinamama na kina mama vilevile kufanya kazi za kinababa
nk
 
Back
Top Bottom