Leo Dada, natamani tuwe marafiki wa kweli!

Status
Not open for further replies.
 
Hahaha
hivi wewe huwez acha kupenda pesa kipenz 😁
 
Asanteni wote mlioniita!
Na samahani wote mlioniita asanteni sana lakini sitajibu kwa sababu haya mambo mimi huwa sifagilii kabisa.

Mimi kwenye sister duu na udada duu nilishatoka huko kwa sasa niko zangu bar nai enjoy ushangazi wangu.
Upo Bar? Sawa🙂.

Mleta mada ashindwe mwenyewe kujiongeza
 
Asante kwa kunielewesha, Leo Dada. Nimeheshimu maoni yako na samahani kama uzi wangu umekukwaza.


Nia yangu ilikuwa ni kuanzisha urafiki wa kawaida tu, bila kuvuka mipaka.

Kuhusu uzi, nitazingatia ombi lako. Nakutakia kila la heri na mafanikio katika maisha yako. Heshima kwanza. 🤝
 
Acha uje ukutane na wa TALIBAN au Houthi wanaotembea na mafuta ya mgando sikioni, Una HELAA?
 
Masikini Chiwawa anakula za uso kwa kila Mwanamke atakaye mfungulia uzi kwa kutumia Multiple ID's zake zote!

Subiri kesho aje na uzi wa kuwaponda wanawake wa JF.

cc ephen_ Seran Lamomy Red black binti kiziwi Binti wa zamani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…