Leo CCM wanalilia Maridhiano nini kimetokea.

Leo CCM wanalilia Maridhiano nini kimetokea.

Chadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani.

Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na media uchwara kujaribu kulazimisha maridhiano.

Chadema wanasema, maridhiano ya kweli ni lazima,

Haki itendeke.
Uchaguzi urudiwe.
Samia aondoke kupisha uchaguzi.
Tume huru ya uchunguzi wa vifo vya oktoba 29.
Kesi za wafungwa wote wa kisiasa ikiwemo ya Lissu zifutwe.
Katiba Mpya.
Wauaji wa Mo29 wawajibike.

View attachment 3611566
View attachment 3611552View attachment 3611551
Awo sio watu wakuaminiwa wanataka maridhiano nyuma ya mgongo wameficha mapanga
 
Maridhiano tufanye wananchi na serikal maana hao chadema wao wanadai hawa kuandaa maandamano wala hawa husiki na maandamano ya oct 20

So kama ni malizoano tutanye wanachi na serikal

Shida yenu chadema mnataka fanya maridhiano ni haki yenu na nyie ndo mnapaswa kuridhiana na serikal,
CCM ndio wanaitaka CHADEMA kwenye maridhiano acha kupindisha ukweli au na wewe ni chawa
 
Ye
Chadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani.

Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na media uchwara kujaribu kulazimisha maridhiano.

Chadema wanasema, maridhiano ya kweli ni lazima,

Haki itendeke.
Uchaguzi urudiwe.
Samia aondoke kupisha uchaguzi.
Tume huru ya uchunguzi wa vifo vya oktoba 29.
Kesi za wafungwa wote wa kisiasa ikiwemo ya Lissu zifutwe.
Katiba Mpya.
Wauaji wa Mo29 wawajibike.

View attachment 3611566
View attachment 3611552View attachment 3611551
Yes maridhiano ni lazima japo wengi mtapoteza kazi
 
Uchaguzi urudiwe
Samia aondoke kupisha uchunguzi

Kwa mtu mwenye akili anaona tu apo wapinzani wamepuyanga iv ni raisi wa wapi afrika uliwai ona anarudia uchaguzi
Ni wap afrika uliwai ona raisi anaondoka kupisha uchunguzi
Izo ni pumba na haziwezi kutekelezeka na km ni vikwazo serikal iko tayar kwa vikwazo ila sio kusikiliza masharti yasiyo weza kutelezeka

Na ata tukiwekewa vikwazo watakao umia ni wananchi, Raisi na serikal yake sana sana wataongeza tu kiwango cha kuiba pesa walikua wanaiba elf10 sasa baada ya vikwazo wataiba elf50 kufidia vikwazo na thaman ya pesa itakayo shuka.

Sometime huwa naona wapinzani wa tz ni part ya Ccm maana wana kua na hoja ambazo ata haziwezi kutekelezeka.

Yote mlosema yanaweza tekelezeka ila hayo masharti mawili tunadanganyana akuna raisi wala serikal ya kiafrika ya kukubali mashart ya ivyo
Wanadanganyana sana huko CHADEMA
 
Tumekubaliana 7/7 tutaanza na mabalozi wa CCM tunaoishinao mitaani kwetu.Tunataka baskeli na pikipiki ziuzwe zijenge shule na zahanati
 
Ccm ni vinyonga hubadilika rangi kwa mujimbu wa eneo mbwa hao
 
Back
Top Bottom