Leo Bunge linaahirishwa, una maoni gani?

Leo Bunge linaahirishwa, una maoni gani?

Na kuongezea hapo spika kaomba ushauri huko huko ikulu (mhimili unaochunguzwa na bunge) kuhsu akina nani waingizwe ndani ya kama ti hiyo na hadidu za rejea za kamati hiyo
 
Jamani mimi na waza chai tu maana sukari imepanda bei kutoka 1900 - 2,400, acha chadema wamalize kazi za bunge tuje tuandamane
<br />
<br />
nimeshasau chai.
 
Serikali inaongozwa na msanii na mambo yanaendeshwa kisanii pia.
 
hivi brigedia mstaafu hassan ngwilizi ameshawahi kuuliza hata swali la nyongeza?
 
hivi brigedia mstaafu hassan ngwilizi ameshawahi kuuliza hata swali la nyongeza?

Wabunge wa Chama Cha Magamba walikuwa na KAZI KUU 3 MUHIMU:
  1. KULALA.
  2. KUZOMEA.
  3. KUGONGA MEZA.
Wewe ulishamwona Gamba RA anauliza swali,kuchangia hoja au kuomba mwongozo???Kwa hiyo kina Ngwilizi ndo haohao.

Tuonane Bunge lijalo.

Wasaalamu.
 
Kaka kuna maajabu mengi tumeyashuhudia katika bunge hili
Ni bunge la kwanza kama sijakosea ambalo ushabiki wa kichama ulishika kaisi kuliko maelezo
Maslahi ya kitaifa hayakuwekwa mbele hata kiidogo isipokuwa kwa presh aya wabunge wa upinzani
Bajeti kadhaa zilinusurika kupita mpaka pale CCM walipoita vikao vya dharura
Kwa mara ya kwanza tukiondoa enzi za G55 wapinzani wa serikali wameongezeka kutoka ndani ya CCM
Leo hii tarehe 26/8/2011 ndio tunafika siku ya mwisho ya Bunge la Bajeti kwa mwaka huu. Kuna mengi yamejitokeza likiwamo la David Jairo kuwafananisha Wabunge wa CCM na Ze Commedy.

Kama Si kwel Ze Commedy, kwa nini walimtaka Mh. Lema kufuta kauli au alete ushahidi kuhusiana na Uongo aliotoa Waziri Mkuu kulidanganya Bunge, na yeye akaamua kuleta Ushahidi ambao mpaka leo hukumu haitajwi! (Funika Kombe)

Kama Si Ze Masanja, mbona Mh. Zitto Kabwe alitakiwa atoe ushahidi alipowatuhumu Mawaziri, akaleta ushahidi, mpaka leo hakuna kilichozungumzwa tena! (Funika Kombe).

Kama Si kweli ni Ze Joti, mbona Mh. Kafulila aliwaeleza waziwazi alivyowakamata Wabunge wa CCM wa kamati yake akina Erasto Zambi wakipokea Rushwa, mpaka sasa ni Kimya!

Kama Si kweli ni Ze Mpoki, mbona Ushahidi aliotakiwa aulete Tundu Lissu au afute Kauli na Hakufuta Kauli akaleta Ushahidi, mbona nao Kimya!

Je Kama Si kweli ni Ze Wakuvanga, mbona Katibu Mkuu Kiongozi ametuambia kuwa Utaratibu wa Ku-Jairo ni wakawaida, wakati Waziri Mkuu alijifanya kushangaa siku ile nusura aanguke!

Je Kama Si kweli ni Ze Mac Reggan, mbona Mh. Ngeleja, alilikimbia na kuja kumlaki Jairo siku anayorudishwa ofisini wakati siku ile ya kwanza hata yeye alijifanya kumshangaa kwa kufanya kitendo cha ajabu!

Je Tutegemee Ripoti za Uchunguzi wa Ushahidi wa Lema, Zitto, Kafulila, Tundu Lissu zitasomwa leo!

Vinginevyo Mh. Jairo ataendelea kuwa right, kwamba Ze Bunge Ze Commedy.

Naomba kuwakilisha.
 
dodoma tunategemea kuingia rasmi kwenye mgao wa umeme tulikuwa jairo kwa miezi mitatu ya bunge
 
Mbunge wangu makongoro mahanga hata sijui yuko wapi.

Alikuwa bize na kesi yake na Mpendazoe kuhusu kuchakachua kura za jimbo lenu. Na dalili zinaonyesha kwamba atashindwa kwenye hiyo kesi na hivyo uchaguzi wa utarudiwa. Kaeni mkao wa kula!
 
viva mbunge wangu Mnyika. Love u and bravo.
Mchakamchaka mpa supika ajue kuna ubungo. Poleni sanawapendwa wa kwa Wassira, Job, Lusinde, filikunjombe na Komba.
 
almost hatuna bunge...pumba nyingi, mchele kwa mbaaali
 
Kwa kweli mbunge wangu mie ni jitu la maendleo anajiita wa babati vijijini cjawahi kusikia akichangia hata kwa lolote , kwanzj jimbo limegawanywa vibaya cjui 2tamngoaje huyu mzigo wa bbt vijijini, hana jipya kaaa kimya 2 rostarm, vijana 2nae toka babati vijijini 2tana kazi jaman
 
loo-salaa-lee afadhali hawa jamaa wanatumia hela nyingi sana kujadili pumba sijawahi ona bunge linalodumu miezi mitatu likijadili maadhimio ya serikali. Si wapitishe tu hizo budget kupitia wabunge wao na kuwapa makarabsha ya sera hatuwezi kuendelea kuendekeza upuuzi huu ni very expensive to tax payers.

Hii hela ingeenda hospitali labda ingesaidia akina dada kazaa kupata vitanda au kutopeleka gloves zao wenyewe. It not worth spending that much kusikiliza upuuzi maana inafika point watu wanaanza kusinzia au hata kusutana kujichangamsha, kwa kweli bunge linakaa muda mrefu kuliko inavyostahili.
 
Wabunge warudi kwenye majimbo sasa waje wafanye kazi tuone ahadi zao haswa Mmbunge wangu Mch. Msigwa wacwac wng yasije yakamkuta 2015.
 
Waht wabunge and or politician wants is just to be honoured.

Ndio maana hata serikali imebuni njia endelevu za kuwa honour wabunge.

  • Bajeti ya wizara zikisomwa kuna fungu zaidi ya posho wanazopewa basi wizara inabidi zitoe pesa za "mawasilaiano" ili wabunge waelewe bajeti . So kama kuna mbunge haelewi bajeti vizuri with pesa ya mawasiliano basi medula oblongata yake inafanya kazi viuzri. Win win situation .M bunge win and wizara win. Only pesa ya mlipa kodi inapotea
  • Ili wabunge walewe kazi ngumu inayofanywa na serikali na wao sasa wana manage pesa thrugh CDF. Sijui CAG atazikagua lini tujue kati ya seriali na wbunge who can better manage the fincnae and accounts. So hivi sasa wabunge wako kaitika postion nzuri zaidi ya kuelewa ufinyu wa bajeti sbabau na wao wamekuwa watendaji sio

Waht else do we expect from the honourables????

Napendekeza badala ya VX kila mbunge apewe HAMMER jipya kabisa maana kuna wengie hata VX zinakwama na wanshindwa kutumiiza majukumu yao. Na kwa rais tuangalie uwezekano wa kuagiza FERRARI speacial kwa ajili yake maana marcedess benz hivi sasa hayana thamani yamezagaa na yako tele.
 
hakuna maumivu niliyoyapata katika kipindi cha bunge hili maana maisha ndo yamepanda kila kitu bei juu .. sukari, unga mafuta etc....
 
Back
Top Bottom