Leo Bunge linaahirishwa, una maoni gani?

Leo tarehe 26/08/2011 ndio siku ya mwisho ya Vikao vya mjadala wa Bunge la Bajeti. Kumbukumbu sahihi zinanionyesha kuwa kikao hiki cha leo ni kikao cha 57, ya kikao kikubwa cha 4 la Bunge la 9. Mengi yamezungumzwa, tumeshuhudia mijadala mikali na yenye ukinzani mkubwa kama vile..

1. Kukwamishwa kwa bajeti ya wizara ya nishati na madini,

2. Kuongezwa billion 95 katika wizara ya uchukuzi,

3. Kusimamishwa kazi na kuundwa tume ya bunge juu ya sakata la Nd. David Jairo-Katibu mkuu wa wizara ya nishati,

4. Sakata la uhuzwaji holela wa UDA (Shirika la usafirishaji dar es salaam),

5. Mvutano mkubwa kati ya wafanyabiashara wa mafuta na Ewura as wel as serikali,

6. Kusimamishwa kazi kwa Afisa wanyamapori kwa sakata la twiga walioporwa kwenda Qatara

7. Sakata la ununuzi wa Rada na report toka kitendo cha kijasusi cha upelelezi cha Uingeleza-SFU

8. Ongezeko la mshahara la 8.6% kwa wafanyakazi wa umma na ongezeko la kima cha chini kutoka sh. 135,600/= mpaka 151, 000

9. Kuletwa kwa Mpango wa Maendeleo wa miaka mitano

10. Kujiuzuru kwa pacha mmoja kati ya RACHEL Bw. Rostam Azizi,

11. Kufariki kwa Mbunge Mussa Silima (Rest In Peace).

Katika hayo na mengine mengi HEBU KWA PAMOJA TUFANYE TATHIMINI JUU YA UNDENDAJI KAZI WA BUNGE HILI.

Nawasilisha!

namba 4 ni kuuzwa si kuhuzwa

Kulala kwa mawaziri,kutupiana vijembe kwa wabunge,wapinzani kukataa posho,LOWASA kumshambulia jk na serikali yake,SITTA kumfyatukia lowassa,wassira kuliwakia mwananchi,ndungai kulibeza MTANZANIA,wabunge kutolewa nje,na mengineyo

Na kuongezea hapo spika kaomba ushauri huko huko ikulu (mhimili unaochunguzwa na bunge) kuhsu akina nani waingizwe ndani ya kama ti hiyo na hadidu za rejea za kamati hiyo

Kwani ile kamati ishaundwa tayari?

bi kiroboto bunge linamshinda,kwanza kumekua ni sehemu ya kushindana kati ya magamba na cdm,matokeo yake wanasahau yalio wapeleka,matatizo ya wananchi wao kuyawasilisha,wapo wachache wanajua nini kilochowapeleka kufanya,maana 2015 si mbali, na safari hii adaganyiki mtu

Leo hii tarehe 26/8/2011 ndio tunafika siku ya mwisho ya Bunge la Bajeti kwa mwaka huu. Kuna mengi yamejitokeza likiwamo la David Jairo kuwafananisha Wabunge wa CCM na Ze Commedy.

Kama Si kwel Ze Commedy, kwa nini walimtaka Mh. Lema kufuta kauli au alete ushahidi kuhusiana na Uongo aliotoa Waziri Mkuu kulidanganya Bunge, na yeye akaamua kuleta Ushahidi ambao mpaka leo hukumu haitajwi! (Funika Kombe)

Kama Si Ze Masanja, mbona Mh. Zitto Kabwe alitakiwa atoe ushahidi alipowatuhumu Mawaziri, akaleta ushahidi, mpaka leo hakuna kilichozungumzwa tena! (Funika Kombe).

Kama Si kweli ni Ze Joti, mbona Mh. Kafulila aliwaeleza waziwazi alivyowakamata Wabunge wa CCM wa kamati yake akina Erasto Zambi wakipokea Rushwa, mpaka sasa ni Kimya!

Kama Si kweli ni Ze Mpoki, mbona Ushahidi aliotakiwa aulete Tundu Lissu au afute Kauli na Hakufuta Kauli akaleta Ushahidi, mbona nao Kimya!

Je Kama Si kweli ni Ze Wakuvanga, mbona Katibu Mkuu Kiongozi ametuambia kuwa Utaratibu wa Ku-Jairo ni wakawaida, wakati Waziri Mkuu alijifanya kushangaa siku ile nusura aanguke!

Je Kama Si kweli ni Ze Mac Reggan, mbona Mh. Ngeleja, alilikimbia na kuja kumlaki Jairo siku anayorudishwa ofisini wakati siku ile ya kwanza hata yeye alijifanya kumshangaa kwa kufanya kitendo cha ajabu!

Je Tutegemee Ripoti za Uchunguzi wa Ushahidi wa Lema, Zitto, Kafulila, Tundu Lissu zitasomwa leo!

Vinginevyo Mh. Jairo ataendelea kuwa right, kwamba Ze Bunge Ze Commedy.

Naomba kuwakilisha.

kwa udi na uvumba hizo repoti hazina jipya, zishachakachuliwa kitambo!

bi kiroboto bunge linamshinda,kwanza kumekua ni sehemu ya kushindana kati ya magamba na cdm,matokeo yake wanasahau yalio wapeleka,matatizo ya wananchi wao kuyawasilisha,wapo wachache wanajua nini kilochowapeleka kufanya,maana 2015 si mbali, na safari hii adaganyiki mtu

Tatizo la kiroboto yupo kichama zaidi!

Ntakumbuka hii kauli"KAMA DHARAU ZENU HUKOHUKO,SIO HAPA,HUKOHUKO".bunge la vijembe na vishoka

Kwa hisani ya bunge hili,mimi nimeongeza msamiati ufuatao.
1.Kufikiria kwa 'masaburi'
2.Kumjailo fulani
3.MEGAWATT
4.Ujiha wa mwila
5.Lobying

Wabunge wa Chama Cha Magamba walikuwa na KAZI KUU 3 MUHIMU:

KULALA.

KUZOMEA.

KUGONGA MEZA.

Wewe ulishamwona Gamba RA anauliza swali,kuchangia hoja au kuomba mwongozo???Kwa hiyo kina Ngwilizi ndo haohao.

Tuonane Bunge lijalo.

Wasaalamu.

Katika vikao vya chama wenzenu hupigwa stop, hawatakiwi kutoka kinyume na msimamo wa chama!

Kwa hisani ya bunge hili,mimi nimeongeza msamiati ufuatao.

1.Kufikiria kwa 'masaburi'

2.Kumjailo fulani

3.MEGAWATT

4.Ujiha wa mwila

5.Lobying

Kufikiria KIMASABURI kukoje teh?

Kwa hisani ya bunge hili,mimi nimeongeza msamiati ufuatao.

1.Kufikiria kwa 'masaburi'

2.Kumjailo fulani

3.MEGAWATT

4.Ujiha wa mwila

5.Lobying

ongeza kumnyamapori nanihii na kufyatukafyatuka kwa 6

Back
Top Bottom